Recent content by batamaji

  1. B

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana Naomba uniunge whatsup 0762506595
  2. B

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu mshana ni add no 0762506595 kwenye group la what's up
  3. B

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hivi Mshana naweza kupata software za ku diagnosis magari hasa aina ya Toyota ili kujua tatizo la gari ili nikienda garage nimwelezi fundi nini cha kufanya sio aanze kukisisia tu na kama zipo zinauzwaje?
  4. B

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kuna kuwa hajuna MTU kabisa aliyekaribu yake na je anapokuwashia full light na kuzima anamaanisha nini?
  5. B

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari naomba kujua kunawakati unapoendesha gari ukapishana na gari lingine dereva wa hill gari unalopishana nalo ANAKUWASHIA INDICATOR Ya upande wake hivi huwa anaashiria nini?
  6. B

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu naomba kujua kuna wanatoa thermostat kwenye magari yao wakusema inatumika kwa nchi za ulaya zenye baridi huku kwetu hazihitajiki kwakuwa kuna joto he in sahihi kufanya hivyo?
  7. B

    Tanzania tuliivamia DRC kuwatoa M23 mbona kigugumizi kuwang'oa Alshaabab?

    Tz. Ilialikwa na UN. rejea UN resolution 2098 2013 chini ya MUNUSCO Sasa huko somalia unataka tujipeleke kiswahili Swahili kama Kenya walivyofanya?
  8. B

    Rais Paul Kagame wa Rwanda, akagua gwaride la Jeshi la Tanzania (JWTZ)

    Funika kombe mwanaharamu spite ...
  9. B

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba inayopendekezwa na Mahakama ya Kadhi

    Na waislamu wakiambiwe wapige kura ya ndiyo kwa katiba pendekezi itakuwaje?
  10. B

    Mwakyembe: Hatupo tayari kuburuzwa na Kenya

    Mh. Mwakyembe usikubali kusaini mkataba visa ya pamoja ya jumuia ya EA kwani wakenya na wanyarwanda wanataka kutumia resource zetu ambazo wao hawana ili kuendeleza nchi zao. Rwanda hawana vivutio vya utalii ila wanang'ang'ania hiyo visa ya pamoja ili nchi yao inufaike kupitia rasilimali zetu.
  11. B

    Padre Baptist Mapunda: Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani

    Mbona hakuwakemea mapdri wenzake waliochota fedha za escrow?
  12. B

    Mbunge mwenye elimu ndogo kuliko wote Tanzania

    Sugu anasomea nini huko uingereza? Naomba utujuze
  13. B

    Rais wangu Kikwete, Kagame anajua kila unachofanya na kupanga

    Woman deplomacy ndo silaha kubwa ya kagame akijua wazi kuwa watz. Wanapenda ngono kwa wanawake wa kinyarwanda ambao viongozi wengi wamewaoa ndo maana anapata info zote za presidar wetu
Back
Top Bottom