Recent content by bata mzinga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tangazo nafasi ya kazi-Mtaalamu wa ufugaji wa kuku (Broiler)

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – MTAALAMU WA UFUGAJI WA KUKU (BROILER) Tunatafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler) kujiunga na timu yetu. Sifa zinazohitajika: Awe na uzoefu wa kusimamia ufugaji wa kuku wa broiler. Awe na uelewa mzuri wa lishe, ratiba za chanjo na dawa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    069 819 3856 namba yangu mkuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    ahsante mkuu kwa urekebisho
  4. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    karibu mkuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    wabichi mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    upo sahihi mkuu ni samaki watamu sana
  7. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    karibu mkuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    thanks mkuu, samaki wengi wanaanzia gm 300, ukitaka kuona aina ya samaki utaniambia tu nikutumie
  9. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    ndiyo Boss kama mkoani njoo tuzungumze namna bora wa kufikisha
  10. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    kuanzia kg 50 Boss
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

  12. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    Je una butcher la samaki wa maji chumvi(samaki kutoka baharini),tunauza samaki kwa bei ya jumla bei zetu ni nafuu na unalipia pale unapopokea mzigo,mzigo wetu unaipokelea mbagara zakhem, tafadhari fungua hiyo picha uone bei zetu za samaki na pia unaruhusiwa kuuliza chochote
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aishangaa CHADEMA ilimpokeaje Nyalandu

    Mkuu elewa ninachosema,kikubwa natamani majukwaa ya vyama vya upinzani kwenye majukwaa yao yawe na sera za kiuchumi, kama unaona suluhu ya hiki ninachosema ni kuanzisha kila mtu chama chake,baki na huo utashi wako..!
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aishangaa CHADEMA ilimpokeaje Nyalandu

    Hivi kuna chama kina mipango thabiti au sera mahususi zinazogusa maslahi mapana ya wanachi wa kawaida?,kikaja na mipango thabiti inayohusu mageuzi makubwa ya nchi hii kwenye nyanja zote..,kiukweli naona mipasho ni mingi sana kwenye hivi vyamaa,kiukweli ninayotegemea kuyasikia siyasikii kabisaa
  15. B

    JamiiForums Tanzania Serikali punguzeni gharama za kuingiza umeme ili mkusanye kodi

    Mkuu natanguliza samahani pia kwako,na pia itakuwa busara kutoa neno Mh kwangu,naongea kama mdau kwenye sekta umeme, hasa hasa kwa maeneo hayo hayo uliyosema ya vijijini,kwenye miradi mingi inayotekelezwa kwa sasa ya kupeleka umeme vijijini TANESCO wanahusika kama wadau kwenye usimamizi,ila...
Back
Top Bottom