Recent content by Bata batani

 1. Bata batani

  Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

  Ingekuwa ndio mimi hili zoezi la kutoa mahali na kufanya engagement ningelisimamisha na kulifanya mwakani mwezi wa 12 na sababu ya kusimamisha unatafuta hela ya Gauni la laki moja Natumai mpka mwakani zoezi litakapoanza upya sijui kama tena huyo mwanamke atataka Gauni la bei hiyoooooooooo...
 2. Bata batani

  LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

  Here's a look at Russian President Vladimir Putin's life. Personal: Birth date: October 7, 1952 Birth place: Leningrad (now St. Petersburg), Russia Birth name: Vladimir Vladimirovich Putin Father: Vladimir Putin, a factory foreman Mother: Maria Putin Marriage: Lyudmila (Shkrebneva) Putin...
 3. Bata batani

  Single mothers nawaibia siri nyingine

  Shida binadamu ni wabishi sana
 4. Bata batani

  Single mothers nawaibia siri nyingine

  Huyu jamaa tumesoma wote lakini ni mtu mwenye asili ya ubishi lakini pia ni aina flani ya watu wanaojifanya wajuaji anyway sasa twende kwenye mada yetu halisia Kipindi anataka kuoa washikaji wake wa karibu tulimsihi sana huyu binti ukimuoa huko mbeleni atakuja kukupa shida simply tunawaelewa...
 5. Bata batani

  Ni kwanini wazee waliozaliwa miaka ya 1950-1960 bado wana mambo ya kikoloni hadi leo

  Yaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya 1. Kuchaguliana wachumba 2. Mpaka leo hii bado zile itikadi za vyama vingi wanaona vitaleta vita 3. Wagumu kubadilika kulingana na nyakati mpaka leo hii bado wanafata sera za Nyerere 4. Mtoto kama amemsomesha amekosa kazi wanaona ni...
 6. Bata batani

  Ni kwanini watu wenye pesa wakiwa na shida huwa kimbilio lao kwa masikini na kuwasumbua?

  Kuna vitu huwa najiuliza watu wengi wakiwa na pesa hujitenga sana na watu masikini tena hawa masikini hata wakiwatafutaga huwa simu zao hazipokelewi lakini sasa inapotokea watu wenye pesa wana shida basi kimbilio lao la kwanza ni kwa watu masikini. Yaani unashanga mtu kipindi ana pesa alikuwa...
 7. Bata batani

  Kama unataka kuondoka kwenye umasikini, waepuke masikini kama ukoma

  Yaani dah watu wengine sijui wakoje eti anatuuzia kitabu cha jinsi mbinu ya kuwa tajiri lakini yeye sio tajiri
 8. Bata batani

  Ni meamua kum-block wife kwenye line zake sa simu zote na Facebook

  Kuna siku huyo mwanamke akipata mwanaume wa kumliwaza na kumsikiliza usije ukaanza kuleta uzi Mpenzi wangu siku hizi kabadilika
 9. Bata batani

  Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

  Tatizo sio dini ila tatizo huna pesa ungekuwa na pesa zako haya mambo hakuna mtu ambae angekuwa na ubavu wa kuingilia mausiano yako
 10. Bata batani

  Papa Francis aikosoa Urusi asema imefanya shambulizi la kinyama Mariupol

  Kuna mauji kila siku yanafanyika nchini congo lakini wameshidwa kuyakemea
 11. Bata batani

  UN: Raia wa kawaida waliouawa Ukraine ni zaidi ya 3,000

  Matatizo yote haya yametokea kisa tuu russia hataki ukraine ijiunge umoja wa ulaya na nato na zelesky nae hili hata halimuumizi kichwa anangalia maslahi yake kisa tuu ameahidiwa atakuwa life president na kupewa billioni mbili na western akikubali ukraine ijiunge nato na Eu
 12. Bata batani

  Kwanini USA na EUROPE wamelitawala sana anga la ndege za abiria ulimwenguni?

  HIZI HABARI UMEZITOA WAPI AU ULIMSIKIA MTU AKIZUNGUMZA NDO UKAJA KUULIZA JF
 13. Bata batani

  Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

  Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
Top Bottom