Ungekuwa unaamini kukaa kimya ungeanza ww kukaa kimya!
Thread yako imebebwa na sentensi "mistari yake mingi ni ya KIUJANJAUJANJA mno!".huna tafsiri ya kiujanjaujanja na mifano yake,na pia storytelling inaruhusiwa kwenye hiphop,kama ulikuwa hujui.
Zaidi kuwataja kina Geez,Babuu,Kala,na Mansulii...