Recent content by basihaya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

    Huyu dada amenikera mno! Hajitambui huyu, wako watu ni mabilionea hapa TZ na nje kwa kazi ya kufuga kuku! Ona wakina kuku poa, Amador, inter chick na wengine wengi ni wafugaji hao na wameajiri watu wenye degree zao kama wataalamu na washauri!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    Mkuu ni kuvumiliana tu, maana hata huku kwetu kuna speaker zinaamsha watu kwa makelele na vitisho vingi, amka amka kitanda ni jeneza...... tuvumilane tu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Kwa hiyo kwenda toilet ndio inadhihirisha huyouliyemtaja yupo!!! Mbona sayansi iko wazi mkuu?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Hivi picha kama hizi ndio kuaminisha watu kuwa Mungu yupo? Hizi ishara...... au farao kukutwa na michanga? Hizi dini zinasambazwa kwa hila nyingi ( propaganda)
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Aisee!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Inawezekana kuishi bila kuoa au kuolewa.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Kuna mvua za kikorea na kichina. Hizi nazo je?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

    Haiko hivyo hata kidogo, Israel ndio taifa pekee lililoanza kumuabudu Mungu mmoja yaani YAHWEH. Ambaye ana sifa lukuki; wanamtambua kama Elohim, Elishaddai, Yehovah ( Yehovah Adonai, Yehovah Nisi, Yehovah Shalom, Yehovah Rafa, Yehovah Yire nk. ) Uhamisho wa Babel ni baadae sana. Jerusalem...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

    Nafikiri ni kinyume chake
  10. B

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

    Hicho kitabu cha dini ya Judaism kina husisha, historia nzima ya uumbaji na kuzaliwa kwa taifa la Israel kupitia Yakobo. Na kumbukumbu ya kila tukio lililotokea kwenye taifa teule limerekodiwa hapo. Kuna torati, zaburi na vyuo vya manabii. Mji mkuu wa Israel unatajwa kama Jerusalem.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

    Hivi ni nchi gani yenye reserve kubwa ya mafuta zaidi ya USA?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Picha kutoka maktaba,,,sasa hivi ni bilionea mkubwa huyu

    Unajua, ujana ni maji ya moto!! Misuli, mishipa na ubongo hufanya kazi ktk viwango vya hali ya juu sana, hivyo usishangae ukiona picha zako ukiwa 20th na 30th zikiwa tofauti sana na ukiwa 40th
  13. B

    JamiiForums Tanzania Picha kutoka maktaba,,,sasa hivi ni bilionea mkubwa huyu

    Zilikuwepo kuanzia miaka ya 70 mwanzoni, picha za mnato, picha za mtembeo zilikuwa bado.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Picha kutoka maktaba,,,sasa hivi ni bilionea mkubwa huyu

    Tuko nyuma, wenzetu mbele. Picha za TZ miaka ya 80s ni sawa na picha za USSR miaka ya 60s.
Back
Top Bottom