Narudi jukwaani kwa mara nyingine;
Natafuta waliopangiwa shule za kibondo kama vile
1. Kibondo
2. Malagarasi
3. Mkugwa girls
kama yupo yeyote aliyepangiwa shule hizo chek na mm hapa 0754290512 kwa details
Habari,
Naitwa ZABRON AMON mhitimu wa kidato cha nne shule ya MOYOWOSI SEKONDARI.
Nimepangiwa shule ya MALAGARASI SEKONDARI inayopatikana hapahapa wilayani Kibondo.
Kwa wenzangu wote mliobahatika kupangiwa shule nawapeni hongera sana.
Kwa maelezo hayo namaanisha kuwa nimepangiwa shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.