Safari ya miezi mitatu katika uchaguzi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania umefikia tamati huku ndugu John Pombe Magufuli akiibuka kuwa raisi wa awamu ya tano....Raisi mteule amezaliwa wilayani geita katika kijiji cha katoma...baadae Baba yake alihamia chato mkoani kagera enzi hizo...hivyo leo...
Mgombea ubunge jimbo la kahama mjini Mh.Jumanne Nkandi Kishimba...amesema kwamba atajenga kilometre ishirini za rami mjini humo...akihutubia wakazi wa kata nyahanga,mheshimiwa Nkandi alisema..tatizo la mji wa kahama ni miundombinu ya barabara,msongamano mkubwa ktk hospitali ya manispaa ya...
Miaka kumi ya Ubunge wa Lembeli hakuna alichokifanya jimboni kwake....Kwasababu Lembeli hakufanya chochote tofauti na kufanya majungu,lembeli amekutana na wakati mgumu sana kwani ukimuuliza alifanya nini jimboni mwake,anasema alitoa vikoba kwa wananchi na kufanya mikutano mingi kwenye kata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.