Picha hazielezei uhalisia wa tukio lenyewe, hakuna hata sehemu moja mwigulu alipoonekana akihutubia watu hao wanaosemekana wanaondoka,uongo siyo mzuri sana unajidanganya mwenyewe. Ukitaka kuunganisha story next day unganisha picha na watu pia wahojiwe maoni yao upate kamili. Sawa cdm ina nguvu...
Nyote ni magamba jivuweni hamna jipya kazi yenu ni malumbani tangu january mpaka december hamna chochote kipya tokeni wote mtafute kazi nyingine Bashe kauze Hoteli ya baba yako Kahama,na kingwangalla katafute vifuu uchezee. CCM mmeifanya ya kwenu kila ikifika siku za uchaguzi mara nyeupe siyo...
Tatizo tulilonalo Watanzania ni kupenda kurukia mambo tusiyokuwa na utaalamu nayo,hivi hao watu waliliwakilisha Taifa huko katika majadiliano wameshindwa na timu ya Malawi? Mbona watu wote huko ni mabingwa na wasomi wenye kuheshimika hapa nchini? Kwanini wasipewe nafasi ya kufanya kazi zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.