Visima vya maji ya kunywa vya malingi huwa mnachimba?
Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi, malingi na (gravels za kusafishia maji kama ni lazima) jumla ni...