Gharama za uchimbaji wa kisima kifupi cha malingi

Gharama za uchimbaji wa kisima kifupi cha malingi

Basegeta

Senior Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
110
Reaction score
11
Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha MAJI ya kunywa cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi, malingi na (gravels za kusafishia maji kama ni lazima) jumla ni bei gani?
 
Hivi yupo anayeweza kuondoa PVC pipes kwenye kisima cha maji mita 100 kilichokauka maji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom