Watanzania wengi tunapenda mabadiliko chanya lakini bado wajinga ni wengi ambao kuwapenyeza maarifa kichwan ni kazi nzito.
Ambaye hajui naye et anajua na atamuelekeza ambaye hajui? Twende tu tutafika. Kuna mtu anajitoa ufahamu ktk wazo zuri analipinga ili kumlinda fulani naye kwa kuwa anamlinda...
WAACHE NDEGE WAPITE JUU YA KICHWA CHAKO WAONDOKE ZAO USIKUBALI WAJENGE KIOTA JUU YA KICHWA CHAKO MAANA WALIMWENGU NA MUNGU WATAKULAUMU SANA NA KUKUÖNA MBAYA KAMA NDUMILA KUWILI.
WEWE UKITUHUMIWA KUTENDA USALITI AU UOVU WAKATI UNATAKA KUUTENDA AU UMEUTENDA ACHA NA UJUE HILO NI ONYO LAKIN UKAJA...
HAPO ITUMIKE CONFLICTING THEORY. KITU CHA KUWEZA KULETA UGUMU NI KAMA ZITTO ATATUNISHA MISULI YA UBONGO NA KAMA VIONGOZI WA JUU WATATUNISHA MISULI YA UBONGO. SI VEMA KUJENGANA NA KUADABISHANA KWA KUKOMOANA. NAAMIN WEMA NI AKIBA NIKIMANISHA ZITO ANA AKIBA YAKE YA MEMA CHADEMA NA NI AKIBA HIO HIO...
"waache ndege wapite juu ya kichwa chako wakienda zao usikubali wajenge kiota juu ya kichwa chako maana dunia na mbingu vitakuelewa na kukuona vibaya"" baruma jr 0769109775
Mwigamba na upeo wake ni sawa na mtu anayetumia kibatari akiishi kariako na kujtangaza kuwa anaish jijini. Ndio mana Tanzania mabadiliko ya maendeleo yakija wajinga hurudisha mawazo nyuma. Chief Menelik 2 wakat wanatekwa na ukolon aliwah tamka jukwaani kuwa wakolon wamekuja kuteka nchi yetu...
Mh. Jw(jaji warioba endelea kusema kweli na kusimamia kweli katika maisha yako yote hapa dunian maana kweli ni kweli, pia umeonesha uimara maana uongo ni udhaifu na ukweli ni uimara. MUNGU AKUPE HEKIMA ZAIDI NA AKUJAZE MENGI ZAIDI YA HAYO UWAPE WATANZANIA NA WAELIMIKE.
Bwana Issa Daud nitafute kwa namba 0769109775. Pia upon shule gani hapo kAsulu. NatAka kuhAmA. Au we nibupu tu tuanze mchakTo was kuhAmA au tupAnge link tuanze but be serious. BARUMA Jr
Usinihukumu kaka. Mimi ndo natafuta WA kuja bariadi mi niende kasulu. Kama upon tayari Sema nami
Pia kuna mwalim mwingine nimemrushia tangazo ndo Huyo anataka Moro.mbeya name iringa il I atoke bariadi.umenielewa kaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.