Nyerere alikuwa binadamu na anayo mapungufu yake.Issue ya msingi hapa si personality ya mtu ni maamuzi aliyoyafanya nyakati zakeTutakosea sana kuishi zamani badala ya leo.Nyerere hakuwa nabii
Nenda shule kwanza ili ujue historia ya Tanzania ndo utajua kuwa wewe ni mtanganyika na uwezi kuupinga ukweli,maana unavyofikili inaonyesha hata elimu ya msingi huna.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.