Recent content by Barjun

  1. Barjun

    Hii ni biashara ya ukweli au?

    Google inaandikwa na watu na siyo kila kitu utakipata huko
  2. Barjun

    Hii ni biashara ya ukweli au?

    inategemea sasa ni nyekundu ya kiwanda au ya mwamba?
  3. Barjun

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    mmmhhh kama ni kwenye mashamba ya mkonge sikatai lakini kama ni underground inawezekana kuwa ulishatolewa ....na kama unataka kuwa na uwakika na kazi husika make sure anayekupa taarifa basi amefika eneo hilo si zaidi ya siku 30 tokea leo na pia lazima akwambie ni hali gani amekutananayo eneo la...
  4. Barjun

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    kinachokupa ushahidi wa kusema hapo kuna mzigo wa maana ni nini?
  5. Barjun

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    mwenye kuwezakunisaidia Jina la wimbo (sound track)kwenye movie ya welcome to America iliyoigizwa na eddie Murphy.na inasikika pale tu movie ianzapo na Mumbaji ni Frank Sinatra, nina la wimbo ndiyo naomba msaada kwa anayefahamu.
  6. Barjun

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Kenya wengi ni madalali na hata ukifuatilia ulipaji wao kunakuwa na mashakamashaka.
  7. Barjun

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Maroa Dave,,,, jitahidi sana kupunguza kukaa vijiweni na kuulizia elimu ya haya utakwama sana sana,,,ungeuliza kwa kidogo ningekusaidia kukufafanulia.
  8. Barjun

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    pole mdogo wangu hiyo siyo picha ni video na nikusaidie pia huwa zinachukuliwa video bila Flash light...Pole sana kwa elimu ndogo juu ya haya. Karibu sana ujifunze
  9. Barjun

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Hapana.
  10. Barjun

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    P post hapa na tarehe ya leo tuone mkuu
  11. Barjun

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Si njema kumhukumu kuwa ni tapeli moja kwa moja na ndiyo maana aliuliza je zinachukuliwa na kama kuna aitakaye basi awasiliane naye pia waongee....kwahiyo hapo ni swala la maamuzi tu..
  12. Barjun

    Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Hii ni aina ya zile Fake kwahiyo Mtafutaji jitahidi kujua kilicho sahihi na kilicho tofaut
  13. Barjun

    Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Ukiingia utaona na Nyingine pia
Back
Top Bottom