Habari zenu wanaJf.
Kuna binti aliumwa na tumbo kwa muda, baada ya masaa kadhaa akaaza kuharisha uku tumbo likimuuma sana badae akatapika mara moja.
Ila tumbo likaendelea kumuuma.
Ila tumbo limeacha kuuma tatizo ana anasikia kitu kama kinacheza au kuvuta na kuacha chini ya kitovu ila...
Habar zenu wanaJF, samahani sana ndugu zangu,naomba kujuzwa kuhusu hizi PC ni aina gan nzuri. Nataka kununua ila sitaki kubambikwa kitu kibaya. Samahani kwa usumbufu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.