Recent content by Baredo

  1. Baredo

    JamiiForums Tanzania 'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?

    Hahahahahaha!! GENTAMYCINE pole mkuu...usijali kukosea na kujifunza ni hatua mojawapo ya kukomaa
  2. Baredo

    JamiiForums Tanzania 'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?

    Kitu ambacho sijaelewa hapa ni kuwa,Je hiyo ilikuwa ni MECHI MAZOEZI au MECHI YA KIRAFIKI? Kama ni MECHI MAZOEZI haikupaswa kuwa habari na hata huu uzi utakuwa ni matumizi mabaya ya bundle lkn kama ilikuwa ni MECHI YA KIRAFIKI basi naamini platforms zote za Simba wangeiripoti KABLA na BAADA ya...
  3. Baredo

    JamiiForums Tanzania 'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?

    Uzi huu haupo positive!! Ni kama Kuna jambo ulitaka kulisema lkn umeishia hewani na kubakia unalaumu tu.
  4. Baredo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serious Relationship (Mke anahitajika)

    Habari wanajukwaa... Najitokeza jukwaani kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia. Wasifu wangu Umri: miaka 30+ Dini: Mkristo RC Elimu: Bachelor's Degree Kazi: Nimejiajiri Makazi: Dar es Salaam Umbo: Mrefu futi 6.5,mwili wastani Rangi:Maji ya kunde Wasifu wa mke...
  5. Baredo

    JamiiForums Tanzania Kumekuchaaa hodi humu!

    Bujibuji hahahaha! Umenichekesha sana. Ok! Ngoja nionane nae lkn Pwani hatutoenda maana sijisikii vzr kwa leo
  6. Baredo

    JamiiForums Tanzania Kumekuchaaa hodi humu!

    Nipo hapa reception lkn sijamuona bado
  7. Baredo

    JamiiForums Tanzania Kumekuchaaa hodi humu!

    Asante mkuu
  8. Baredo

    JamiiForums Tanzania Kumekuchaaa hodi humu!

    Mambo vipi! Naitwa Baredo,ni Mtanzania kwa kuzaliwa,kitaaluma ni Mhandisi Mitambo (Mechanical Engineer),umri wangu ni 30+ bado sijaoa. Natumaini nitapata ushirikiano wenu ili niendelee kujifunza na kuhabarika kupitia jukwaa hili. Asanteni
Back
Top Bottom