Recent content by Barcelona763

  1. Barcelona763

    Mbosso – Maajab

    Mbosso – Maajab Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna mwendeleo wa Shairi ila kurusha kurusha maneno ya misamiati.
  2. Barcelona763

    Wacha waseme

    Sina neno kwa WasafiFestival
  3. Barcelona763

    Msanii bora Bongo flava 2018

    Mwaka wa 2018 msanii bora 2018 ni yupi na wimbo bora was mwaka kutoka kwake ni ipi ?
  4. Barcelona763

    Nyimbo bora bongo flava 2018

    Nyimbo bora 11 za bongo flava mwaka wa 2018 .Zilizofanya vizuri na ambazo ni bora kwa maoni yangu binafsi. 1.nibebe aslay 2.Harmonize ft Diamond Platnumz – Kwa Ngwaru 3.nedy music one and only 4.mvumo wa radi alikiba 5.ninogeshe nandy 6.Harmonize – Atarudi 7.mbwa koko Mr blue 8.Young Killer...
  5. Barcelona763

    Diamond kufuta lala salama

    Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic. “Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu...
  6. Barcelona763

    Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Hela'

    Nyimbo zilizobeba ujumbe mkubwa na uhalisia wa maisha yetu kwa kifupi si tuu zilikuwa nyimbo bora . Napelekwa mbali kifikra baada ya kusikiliza nyimbo za mwanamuziki huyu ambaye si tuu anajua kuimba bali anajua nini cha kuimba, wakati gani na kwa watu gani. Wahenga walisema tends mema nenda...
  7. Barcelona763

    Yupi ni msanii bora wa bongo flava kwa sasa?

    Msanii yupi ambae kwa sasa hivi anafanya vizuri sana kwa katika kazi zake za muziki mwaka huu ni nani ?
  8. Barcelona763

    Aslay moto wa kuotea mbali

    Aslay amefanya vizuri mwaka huu ndio maana ukisikiliza muziki wake mzuri kwenye YouTube utanielewa. Aslay yupo na sauti nzuri ya kuimba kama ya king kiba. Ukilinganisha na wasanii wafutao Jux Harmonize Baraka da prince, RayVanny timbulo neddy music abdu kiba
  9. Barcelona763

    Alikiba coastal union

    Nitanunua zote jezi na nyimbo zake .
  10. Barcelona763

    Alikiba coastal union

    Sio Siri Tena alikiba ni mchezaji mpira wa coastal union nilipopata habari sikuelewa . Lakini nilipomsikiliza Mwenyewe akieleza nia yake kwenye interview ya Azam tv nikatambua kuwa ana uwezo ya kutimiza ndoto yake.tokea leo mimi ni shabiki number moja wa coastal union . Nitanunua jezi lake...
  11. Barcelona763

    Nyimbo bora za Alikiba

    Mvumo was radio ilikuwa kupromote kinywaji Cha mofaya.
  12. Barcelona763

    Nyimbo bora za Alikiba

    yeye ndiye aliuimba mistari hii Sababu ya ulofa, Sababu ya ulofa
  13. Barcelona763

    Audio: Brown Mauzo Ft. Alikiba – Kigoro

    Nikiamka sekunde mawazo sekunde naona sura yako tukunde moyo huende kigoro 🔥king kiba
  14. Barcelona763

    Nyimbo bora za Alikiba

    Katika muziki wa bongo fleva, mimi hupenda kusikiliza Alikiba . Nyimbo zake huwa zinamafunzo na zinaonya jamii kwa jumla . Kwa maoni yangu hizi ndio nyimbo zake bora Lofa Mwana Mapenzi yanarun dunia Mac muga Aje Usiniseme Cinderella Maumivu per day Mali yangu Hadithi
  15. Barcelona763

    Wcb wasafu records kwisha

    ushidani wa kutoa nyimbo kutoka wasafi records. Rich Mavoko malalamiko yake inaonyesha kuwa upedeleo kati ya wale wanaopewa kibao katika lebo hiyo. Rich Mavoko lazima ajiondoae kwenye lebo hiyo aikoe career yake ya muziki.C.E.O wa lebo ya WCB Wasafi Diamond Platinumz hajafanya lolote kuhusu...
Back
Top Bottom