Ndioo kama inavyosomeka katika kichwa cha habari.
Aisee kama sio Mchaga usiniPM sitajibu.
Vigezo vingine:
-Awe mkiristu
-Mrefu au wa wastani-kama mfupi usiniPM tafadhali
-Uwe na kazi au biashara-matapeli,wanaotaka kulelewa hapa hakuna nafasi hiyo (background check itafanyika)
-Sihitaji mme wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.