Sijaomba kazi kwa sababu sitaki kufanya kazi au nimezoea kukaa. Kama ningekuwa na uwezo wa kifedha, nisingekuwa napost kuomba kazi. Kuhusu kulima, si jambo la kusema tu “enda ukalime.” Lazima nikodi shamba, ninunue au nipate vifaa vya kilimo, nitafute sehemu ya kuishi, na kwa sasa eneo hilo ni...