Raisi Magufuli ndiye anayehusika na kuwapiga viboko Watanzania kwani yeye Raisi ndiye Big Boss wao, acheni kutufanya wajinga, atavuna alichopanda kama anaendeleza chuki hii dhidi ya Watanzania, ...
Na kama hawajuwi haki zao je, siyo kazi ya Mahakama kuingilia na kusema hapana hatuendi hivyo Waziri anapiga Watanzania bakora ? Unafikiri waliofanyiwa unyama na ukatili huu kama wangejua kuna mahali wangeweza kwenda na kupata Haki wangekataa ? BTW ulishawahi kupiga Mnyama kama Paka au Mbwa...
Nchi nyingi huwa nasoma kwamba kwa mfano Serikali imechukuwa tuseme uamuzi x Wananchi wa hiyo nchi wanapinga wanakwenda Mahakamani kushitaki kwamba uamuzi huo ni kinyume na Katiba ya nchi yao, Mahakama inaamua na kutengua huo uamuzi wa Serikali na Serikali kutii, sijui kama hilo linawezekana...
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.
Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Ubaguzi uko wapi hapo ? Kusema kwamba Uchumi wa Tanzania umeshikwa na Wahindi/ Waarabu ndiyo Ubaguzi mbona wewe umesema uchumi wa USA umeshikwa na Wayahudi ni Mbaguzi pia ?
Next time jaribu kuelewa kwanza kinachoongelewa au kama vipi uliza badala ya kukukurupuka tu na kuandika yasiohusiana, ...
Nafikiri labda haujaelewa maana ya hii Mada ungeuliza kwanza, sijasema kwamba hakuna matajiri weusi Tanzania, ila wachache na hawamiliki uchumi wa Tanzania kumbuka Wahindi Tanzania hawafiki laki 2 wakati sisi tuko zaidi ya milioni 45, kwa maana nyingine Wahindi tuseme labda kinadharia...
Kuna watu wana ukichaa wa kurithi na huyo Babake Diamond anaweza kuwa ni mgonjwa wa akili, acha kuingilia mambo ya ndani ya watu usiowajua, haujui kilichojili, ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.