Recent content by barbaig

  1. barbaig

    David Kafulila apangua hoja zote za Zitto Kabwe kuhusu ripoti ya CAG

    Anajibu kama nani yeye na musiba ni vipandikizi
  2. barbaig

    Sijaona popote pale wanajeshi wa Rwanda wakilinda Ikulu ya Tanzania wala Ukuta wa Mererani

    Anayekanusha hawezi kuweka ushahidi pia hivyo tusitoe majibu mepesi kwa mambo mazito yanayohitaji tafakari
  3. barbaig

    Sijaona popote pale wanajeshi wa Rwanda wakilinda Ikulu ya Tanzania wala Ukuta wa Mererani

    Lisemwalo lipo usikanushe kwa mtazamo was kijuu juu aliyetoa taarifa hizo anajua kitu na inawezekana ni wa ndani mno
  4. barbaig

    John Mallya: Fatma Karume ndio zawadi kubwa ambayo wajumbe wa TLS wanaweza kujipa wenyewe

    Mungu ampe afya njema ili atende Yale anayopaswa kutenda
  5. barbaig

    Arusha: Wakili Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

    Ana kila sababu ya kushinda sifa ,vigezo,uwezo,vyote anavyo
  6. barbaig

    Arusha: Wakili Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

    Nawapongeza wanasheria kwa kumpata rais mpya Fatima Karume ninyi so watu was kuburuzwa mnajua mnachokifanya
  7. barbaig

    CCM kuandamana Aprili 26 kumpongeza Rais Dkt. Magufuli

    Kibali kitoke kwa pande zote wanaomuunga mkono na wanaompinga wanaompinga wataeleza mapungufu na wanaomuunga mkono wataeleza mazuri yake hivyo mi nashauri ili kupata ukweli wote wapewe kibali cha maandamano
  8. barbaig

    Baada ya waraka sasa viongozi wa dini waombe nchi za nje wachukue hatua

    Wakipongezwa hawasemi kama dini inachanganywa na siasa wakikosolewa dini inachanganywa na siasa hawajui shilingi Ina pande mbili ukipenda kusifiwa kubali pia kukosolewa
  9. barbaig

    RC Makonda: Marufuku mtu kutolea matamko ya kichochezi katika Mkoa wangu wa Dar es Salaam

    Mkoa wangu ye kautoa wapi kesha ubinafsisha walipita kina makamba walitukuka sana lakini hajawahi kusema mkoa wangu alipaswa kusema "mkoa ninaouongoza" ukilaza ni shida
  10. barbaig

    CCM, vita mliyoianzisha ya kupambana na makanisa hamtoishinda

    Hayo makanisa yamejaa watu wa vyama vyote mwenye akili ndogo wanasema kkkt no ya chadema je ccm hakuna wanaosali kkkt hivyo ni vigumu
  11. barbaig

    Rais Magufuli: Ndege ndio heshima ya nchi

    Ndege wala siyo heshima ya nchi kwa watu wa chini mi Nina miaka 54 nimetumikia serikali miaka 30 mwenye elimu ya shahada moja sijawahi kupanda ndege alafu sitegemei kupanda he mkulima mwenye kipato cha kawaida au cha chini atapanda ndege bora train iwe heshima ya nchi inabeba watu wote...
  12. barbaig

    Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    Nimpendezeshe miye wakafaidi majirani hiyo ndiyo shida Siku ukitaka kuanza mletee zawadi mwambie mama asione endelea hivyo atakuomba mwenyewe
  13. barbaig

    Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    Wakinamama nao watuambie kuna nini kwa mahouseboy kuna siri gani ni bora tuangalie upande wa pili wa shilingi
  14. barbaig

    Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga

    Wakatubu madhambi yao badala ya kupotosha waraka wa maaskofu
  15. barbaig

    Prof. Kitila Mkumbo: Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya

    Waraka ulioandikwa na maaskofu 27 wawezsje kujibu kwa majibu mepesi kama hayo
Back
Top Bottom