Recent content by Barakha John

  1. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Aina 15 Za Simu Zinazo Ongoza Kwa Mauzo Kariakoo Mbaka Sasa

    Soko la kariakoo ndio soko kubwa Tanzania na afrika mashariki lenye kila aina ya products , zaidi linauza simu za kila aina . Maelfu kwa maelfu ya simu yanauzwa kila siku , lakini ulisha wahi kujiuliza ni simu gani haswa zinaongoza kuuzwa katika soko hili maaraufu afrika mashariki ? Kama bado...
  2. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    shida yako unatumia oppo za dubai famba sio oppo original zenyewe usibishie ..... hizo oppo ambazo unasemea wewe hata hazitambuliki na oopo wenyewe hahaahaha hapa dukani sina oppo ya chini ya milioni ..... ko wewe najua unazungumzia oppo za laki 1 moja zile mzee
  3. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    hahahahah bora wewe umesema shida wengi wanakuwa wajuaji bila kujua wanabishania nini , inaonekana amezoa oppo zile za laki 2
  4. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones . Je...
  5. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Usinunue Tena Iphone Kwenye Box Bila Kujua Siri Hii , Utashangaa….

    Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used…. Je, Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo. ……naona unabisha pengine wewe mwenyewe au rafiki au ndugu ulisha wahi muona amenunua simu mpya kabisa na amefungua kwenye box …sasa...
  6. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Tumia Hizi Siri 7 Kukagua Simu Ili Usitapeliwe na Kuuziwa Feki / Grade Namba 2

    Tanzania kila inayo itwa leo watu hutapeliwa ,wengi hupotezea kwa sababu ya udogo wa pesa wanazo tapeliwa …. Fikiria kama ukitapeliwa laki 3,4 au MILLIONI. Ni pesa nyingi eeh…. Kama haupo makini unapo enda kununua simu au Laptop hasa kariakoo na wewe ni suala la muda tu kutapeliwa… Kwanini ...
  7. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Je, Ninunue Simu Gani , Samsung au Google Pixel?

    pixel mpya zipo hata hapa kwangu zipo nicheki 0757468193 nikupe mpya zipo kuanzia 6a na kuendelea hata 4xl pia
  8. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Je, Ninunue Simu Gani , Samsung au Google Pixel?

    hahahhaha , shida umenikaanga kaka hahahah
  9. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Je, Ninunue Simu Gani , Samsung au Google Pixel?

    wewe ulisema Apple wananunua camera kutoka Smsung ndio maana nikakupinga na kukuelewesha usijizime data kaka pitia vizuri majibu yako usijitoe ufahamu
  10. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Je, Ninunue Simu Gani , Samsung au Google Pixel?

    sasa hupaswi kusema unirekebishe mimi nimeongea kutokana na research yangu kama vipi na wewe uje na research kaka. lakini kingine nimejaribu kuchambua advantage na dis advantage za google pixel za samsung over google pixel kiujumla . kwa maneno rahisi sio samsung zote zipo hivyo ila kwa...
  11. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Je, Ninunue Simu Gani , Samsung au Google Pixel?

    hahahhhha ni hatari kaka na hii kwa sababu hazina spair
  12. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Je, Ninunue Simu Gani , Samsung au Google Pixel?

    sio kweli , ingekuwa vizuri ungefanya kwanza research kabla haujaandika .... utofauti upo hivi... kwenye pixel simu ya msingi ni plain yaani mfano , pixel 5,6,7,8,9 lakini kutokana na sababu tofauti za kibiashara mfano budget ,prefferences na ushindani wanalazimika kutengeneza model nyingine...
  13. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Je, Ninunue Simu Gani , Samsung au Google Pixel?

    Pengine wewe unayesoma uzi huu unawaza ni lini utapata pesa ya kununua simu lakini kwa mtu mwingine hali ni tofauti kabisa ...! Kivipi ,? ..... pesa Anayo lakini hajui ni simu gani nzuri atanunua kwa ajili ya shughuli zake . .... Je , Wewe upo kundi gani la kwanza au la pili ? .........Jibu...
  14. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 500,000 - 600,000 Google Google pixel ipi itanifaa

    hiyo ni laki 3 na 50 sisi tunauza original tu grade 1 nicheki 0757468193
Back
Top Bottom