Habari wadau, nataka kumnunulia mtu simu janja, mwenye uzoefu wa simu janja nzuri kuanzia uwezo mzuri wa camera, ukubw RAM/ROM, na kukaa na chaji naomba anishauri simu ipi naweza kununua!
Isiwe Tecno/Infinix
Budget yangu about Tshs 500,000/=
Naomba kuwasilisha
Ni kweli Mkuu, mm mkewangu aliwakatalia , akawaambia kama hamtaki kumuhudumia mtoto mpk chanjo ya COVID-19 muweke bango wananchi wote wajue. Mwisho wa siku hakuchanja na mtoto akahudumiwa vzr
Mkuu, gharama za finishing nahisi zitakuwa juu Sanaa kwenye tofari za kuchoma, coz huku magharibi vifaa vya ujenzi vipo juu Sanaa. [emoji848][emoji848]
Habari Wana ujenzi! Natumaini mko salama.
Nimekuwa nikipita katika baadhi ya mikoa kadhaa ambayo Ina Miamba mikubwa ya Mawe mfano Mwanza, singida, Dodoma etc na kushudia wakiitumia Miamba hio kuzalisha mchanga, kokoto, mawe ya kujengea msingi, etc.
Je, hakuna Sehem ambazo hutumia Miamba hii ya...
Kuna Sehem huku mwisho wa tz magharibi tofari ya block ni 1800[emoji22][emoji22]. Mpaka nawaza nifyatue mwenyew kwa zile mashine manually? Daah . Na hapo hakuna uwazi katika ratio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.