Recent content by baraker88

  1. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    We shombe wa kilugha ni balaa, pesa haitoki kizembe 😀
  2. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    Unatakiwa ukutane na mother house mchaga ilimuongee kichaga vizuri na utatoa tu😀😀😀
  3. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    1500 x 5 = 7500 kodi ya jengo hiyo
  4. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    😀😀😀
  5. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    Kuna mambo yanafikirisha sana, unalipa 18% VAT kama kodi ya huduma ambayo kimsingi serikali inaitumia fedha hii katika miradi ya maendeleo na matumizi mengine, lakini tena unawekewa gharama ya kuchangia maendeleo na matumizi mengine ambayo ni REA 3% na EWURA 1%
  6. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    😀😀😀
  7. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    Ni kweli aisee, lakini sisi kama raia tuna nafasi ya kutoa maoni kwa mamlaka zinazohusika, tukikaa kimya hawa jamaa wanaweza kutuongezea 😀😀😀
  8. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    Nyie ndio mnatuwekea 3% ya makato ya REA 😀 hatari sana, kwa matumizi ya nyumbani viwango vyote vilitakiwa viwesawa tu, utofauti labla uwe kwa viwandani n.k
  9. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    Dah ni changamoto, kunahayo makato ya debt collection 1500 sijui ndio kodi ya nyumba ambayo yanakatwa kila mwezi kiukweli khari ya kiuchumi mtaani ni ngumu na serikali inaendelea kutupa mzigo
  10. baraker88

    JamiiForums Tanzania Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    Kuelekea Bunge la bajeti 2024/2025 naishauri serikali kupitia upya gharama za umeme ambazo zimekuwa na makato mengi sana na kuwa Mzigo kwa Raia. Haya na mengine mengi ndiyo mahitaji yetu sisi wananchi, wabunge punguzeni kusifiana na kutukuzana bungeni, elekezeni mijadala yenu katika kujadili...
  11. baraker88

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la panga pangua viongozi Rais Samia atapoteza mvuto kwa Chama na kwa Wananchi

    Nimuda wake na Katiba inamruhusu kufanya hivyo, na washauri wake wamekubaliana, anaona inamsaidia kwenye uongozi wake, mwacheni apambanie muda wake kuongoza nchi si jambo dogo. Si dhani kama ni dhamira yake kufanya mabadiliko kila mara, changamoto inayoonekana hapa ni aina ya watu wanaomzunguka...
  12. baraker88

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Hadi anatozwa faini inamaana kunasheria amevunja ambayo adhabu yake ni tshs elfu 50,000 mwenye uelewa wa sheria hii aiweke hapa ilikuepusha lawama kwa pande zote
  13. baraker88

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Ndio maana baba yako hajakupa hela, Huna mausiano mazuri na pesa
  14. baraker88

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Nimecheka sana leo, Nyumba inajengwa bado upo nyumbani hadi inauzwa bado upo home na unataka mgao, Asante kwa kutufurahisha ....
Back
Top Bottom