Recent content by BarakaMkekusi

  1. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania KWA ALIYEFANIKIWA KULIPIA GOOGLE PLAY CONSOLE ULITUMIA BANK GANI NA IMEWEZESHWAJE?

    Tumia Vodacom VISA..Hyo ndo haina mambo mengi
  2. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

    Sawa mwanamama holoholo
  3. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

    Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi sihitaji. Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
  4. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya freemason na kanisa katoliki

    June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa ni kuunganisha kundi la freemason liwe moja, kwa maana kipindi hicho walikuwa wamegawanyika bila ya...
  5. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Sababu inayofanya wanawake wasikupende

    https://youtu.be/FvGS_o-ERdw?si=s75p6yIZTv9iyq2X Huu ni ukweli mchungu
  6. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Hivi law of attraction/quantum physics ipo kweli hii kitu ilisababisha nipate depression

    Kuna dogo mmoja yupo anaitwa james jani amewahi toa video akiexpose hizi imani za LOA.. Kacheki hii video utajifunza vingi https://youtu.be/OHz4slbIRyE?si=y-OWPDUtqXmQXxLN
  7. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nisome programming language gani?

    Android development--Soma kotlin na jetpack compose. IOS--Soma swift au Objective C Game development--soma C++ na blender. Desktop App --C au Ruby.
  8. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania App

    1::Kuna demand ? 2:Ina provide value gani kwa watu? 3:Unaeza kushindana na competitors wako/ uniqueness yako kwenye market. 4:Unaweza kumonetize vp (ukichana na ads)? *Etcetera
  9. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania App

    1024.
  10. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Programmer na developer wa Tz tunafeli wapi?

    💯💯💯💯💯💯
  11. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Programmer na developer wa Tz tunafeli wapi?

    Hapo me naona tatzo kuna app za aina hyo nyingi sana...kumshawishi mtu adownload yakwako ni ngum sana maana competition ni kubwa mno
  12. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Programmer na developer wa Tz tunafeli wapi?

    Wanaokufundisha wamekaririshwa na walio wafundisha nao wamekaririshwa yani huu mfuno wa elimu nichangamoto sana
  13. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Programmer na developer wa Tz tunafeli wapi?

    1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki??? 2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum?? 3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia...
  14. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Mungu na Shetani: Nani kaua zaidi?

    Acha kutafuta attention kwa kupost ujinga...
  15. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Tangu mwezi wa kumi uanze, wananchi tunafurahia neema ya pesa nyingi sana

    Acha kutafuta umaarufu kwa kuongea ujinga.
Back
Top Bottom