Recent content by baraka_41

  1. B

    Naomba ushauri wenu wana JF

    Nawashukuru wote kwa ushauri wenu mzuri, nawashukuru sana na mmenipa moyo sana maana mwanzo nilikuwa nimechanganyikiwa sana, Kwa sasa mimi nipo namsikiliza atakachoamua then nitajua la kufanya kulingana na maamuzi yake. Mwenyezi mungu awabariki sana.
  2. B

    Naomba ushauri wenu wana JF

    Ahsante sana Babu, nashukuru
  3. B

    Naomba ushauri wenu wana JF

    Babu nashukuru sana kwa ushauri wako , leo tena maekuja na uamuzi mwingine kuwa hatatoa talaka ila tutatengana na yeye takuwa na chumba chake na baadae ataondoka ila pale nyumbani ataacha chumba chake ambapo atakuja wakati wowowte atakapotaka. Vile vile alisisistiza nikampime mtoto na...
  4. B

    Naomba ushauri wenu wana JF

    Habari ya muda wana JF Kama nilivyowaambia kabla kuwa huyu mume wangu ana kigeugeu sasa hivi kaja na mpya tena anasema hana tena imani na mimi kama naweza kumlinda hivyo ni bora tuachane. Ila alichonichanganya zaidi anasema nyumba inabidi iuzwe. hayao aaliyasema jana, leo asubuhi kabadilisha...
  5. B

    Ni maziwa gani yanafaa kwa mtoto

    Nashukuru sana wote kwa mchango wenu, ni kuwa mama yake anamnyonyesha ila likizo yake ya uzazi karibu inaisha na ataanza kwenda kazini hivyo kutokuwa karibu na mtoto kwa muda , hayo maziwa ni ya kutumika wakati mama hayupo.
  6. B

    Ni maziwa gani yanafaa kwa mtoto

    Habari wana JF, ni mara yangu ya kwanza kuingia kwenye jukwaa hili, il anaomba msaada wenu, Je, ni maziwa gani yanafaa kwa mtoto wa miezi 3? Natanguliza Shukurani
  7. B

    Naomba ushauri wenu wana JF

    Ahasante (Pihu) Mimi kama sijapata kwake basi nitakuwa nilipata kabla ya kuolewa Huo ndio ukweli wangu ndugu yangu.
  8. B

    Naomba ushauri wenu wana JF

    Nashukuru sana wote kwa ushauri wenu, ila mimi wasiwasi wangu ni kuwa je ni kweli anamaanisha anachokisema? Maana kwa jinsi ninavyomuelewa anaweza kusema hivyo lakini bado hajawa na maamuzi kamili. Na wasiwasi wangu umenidhihirishia baada ya sasa kuanza vituko, Mfano jumamosi nilimuuliza kama...
  9. B

    Naomba ushauri wenu wana JF

    Habari wana jamii wote,ni mara yangu ya kwanza kuingia huku kwenye forum hii Naomba sana mnipe ushauri wenu kwa haya nitakayoyaeleza hapa Mimi nimeolewa nina miaka 13 katika ndoa, nina mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka 12, mume wangu ana mtoto wa kike mwenye miaka 10 aliezaa na mwanamke...
Back
Top Bottom