Habari wana JF, ni mara yangu ya kwanza kuingia kwenye jukwaa hili, il anaomba msaada wenu, Je, ni maziwa gani yanafaa kwa mtoto wa miezi 3?
Natanguliza Shukurani

maziwa ya mama/Ng'ombe..NEVER ya Kopo
,maziwa ya mama pekee.mengineyo ni ya kopo ambayo yana nembo ya TBS na yasiwe yametoka china,kuna lactogen,yapo mengi tu kulingana na umri wa mtoto na yameandikwa miezi.usithubutu kumpa ya ngombe kwani yana fat nyingi haishauriki sana kwa mtoto,mwone dr wa watoto akushauri zaidi.kama ww ni mama nyonyesha hadi miezi 6.
Maziwa ya Mama - Kama ana lishe na Afya Nzuri
Maziwa ya Ngo'mbe - Yachemshwe, Ondoa Mafuta, Yachuje vizuri, Yapoze, Weka Kwenye Containers Safi, Pasha Moto kidogo unapotaka kumpa
Mengineyo naweza kukuunganisha na Mama_Enock akakusaidia - Ni Expert!
pliz niunganishe na huyo mama eneck mimi nina mapacha na mama yao watoto wanamnyonya sana
,maziwa ya mama pekee.mengineyo ni ya kopo ambayo yana nembo ya TBS na yasiwe yametoka china,kuna lactogen,yapo mengi tu kulingana na umri wa mtoto na yameandikwa miezi.usithubutu kumpa ya ngombe kwani yana fat nyingi haishauriki sana kwa mtoto,mwone dr wa watoto akushauri zaidi.kama ww ni mama nyonyesha hadi miezi 6.
ni maziwa ya mama na kama unahitaji ya ziada ni ya ng'ombe ila usimpe bila kupata ushauri kwa wataalam mana yanavipimo ya jinsi ya kuyadailute