Habari wana jamvi,
Nimevutiwa na maelezo ya mtoa mada nikaona sio mbaya nikachangia pia.
Me pia ni mkulima wa vitunguu, nyanya kwa kutumia greenhouse, hoho, ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na matikitiki. Nnachoweza kusema hii sekta ya kilimo ni nzuri sana na bado ina nafasi kubwa sana ya...