Recent content by baraka william

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Simba huu uwanja wa Majaliwa Stadium hamjauona mpaka mkachague Uwanja wa Jamhuri Morogoro mliwaza nini?

    Hivi viongozi wa simba huu uwanja wa majaliwa stadium hamjauona mpaka mkachague uwanja wa jamhuri moro mliwaza nini? Mmh?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga wamgeukia Zimbwe Jr

    Watu huwa mnaanzisha uzi kama vile mnauaga mwaka mnataka kufa sasa zimbwe kimataifa atawasadia vipi wakati ameshacheza simba
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 513 za mkataba wa Mwaka 1 kutoka TANESCO

    Jamani deadline mbona inanitisha hizi kazi za lini?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

    Panda daladala za kwenda hosp ya Benjamin mkapa Kisha mwambie kondakta wa dala nashukia njia panda ya kwenda ofisi za utumishi ukishuka kunabodaboda au bajaji pale njia panda wambie wakupeleke majengo ya doct. Rose migiro
  5. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    Hapo ndipo wanapofail kukusanya kodi kwanini uwauzie kitendea kazi mpe kila mfanyabiashara ili uweze kukusanya kodi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC, kwa mpira huu kazi ipo

    Timu ili ishinde inahitaji mbinu za kuweza kufunga magoli kwa timu yetu sasa haina msimamizi wa kuweza kusimmia nn afanye kulingana na mpinzani hilo ndio kwa sas tunakosa kwa hitimana amebeba mzigo ndio maana benchi lote kila mtu ana maamuzi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Drivers at OSHA - 18 Posts

    Ww umeona kama bei ya nyanya sokoni? Omba kazi hayo mengine utayapata huko
  8. B

    JamiiForums Tanzania Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

    Kama morrison anapelekwa kamati ya maadili hata yanga nayo inatakiwa waende nao kamati ya maadili kwa kudanganya kwamba jamaa alisaini mkataba wa miaka miwili
  9. B

    JamiiForums Tanzania TFF yatangaza kufunguliwa kwa dirisha la usajili kuanzia leo hadi Agosti 31

    Pre contract mchezaji anapobakiza miezi 6 anaruhusiwa kufanya maongezi na timu inayotaka kumsajili kwa hiyo la awesu kuongea na azam kabla ya dirisha si shida
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mikopo

    Ok asante kwa hilo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mikopo

    Ok asante mkuu kwa taarifa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mikopo

    Vipi wadau loan board wameshatoa majina ya 2019/20?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mzumbe admission

    Mrejesho bado inasumbua
Back
Top Bottom