Recent content by baraka mtupi

  1. baraka mtupi

    Natafuta umaarufu

    fanya vtu amazing tushangae upate umaarufu kijana
  2. baraka mtupi

    Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

    computer yangu aina ya dell inawaka na kuonyesha logo ya dell tu ikifika hapo haiendelei hata menu ya msaada au window hamna
  3. baraka mtupi

    Ninatafuta rafiki wa kike wa kuchat tu

    mawazo uongo yan mwez mzima mexej mbli tu
  4. baraka mtupi

    Ninatafuta rafiki wa kike wa kuchat tu

    asa wewe mmoja tu hahah aibu
  5. baraka mtupi

    Ninatafuta rafiki wa kike wa kuchat tu

    naona jf ni ya wanaume tu mbona wanawake hamna, wapo asilimia 5 tu, wanafanya kujotokeza kwa bahat mbaya na kutoweka au hawana mawazo ya kuchangia ktk mambo mbal mbali
  6. baraka mtupi

    Ninatafuta rafiki wa kike wa kuchat tu

    kama vp nianze urafik na wew mambo ya kusubili kuni za mpapai sawa na bure kabla hujapikia zisha isha utakuwa unajisumbua bure
  7. baraka mtupi

    Ninatafuta rafiki wa kike wa kuchat tu

    haina kuchelewa hyo yan
  8. baraka mtupi

    Umeme wa Bure: Kutengeneza Umeme wa Sumaku (Sehemu ya 1)

    je, inawezekana kutengeneza umeme wa sumaku ya spika?
  9. baraka mtupi

    Ninatafuta rafiki wa kike wa kuchat tu

    nina miaka 19 natafuta rafiki wakubadilisha nae mawazo iwe wa kike au wa kiume fresh tu, unaweza kureply namba yako na kuanza kuchat name bila shda sina ubaguzi, kwan wote ni wanadamu.
  10. baraka mtupi

    Aptitude Test

    Ikiwa nahitaji kusoma long course ya computer inatakiw nipate asilimia ngapi ya mtihani wa aptitude
  11. baraka mtupi

    Aptitude Test

    Jana tulifanya mitihani ya aptitude ulikuwa shule ya msingi kabsaaa ambapo angefanya mwanafunzi wa shule ya msingi kwakwel ingekuw ndio bahat yake yan maswala ya nyenzo daraja la ngapi. pia na maumbo
  12. baraka mtupi

    Aptitude Test

    Mitihan huo ni wa sawa na wa darasa 7 au shule ya msingi
  13. baraka mtupi

    Aptitude Test

    Pia na past paper za iq naweza nikazipataje ili nizipitie pitie kidogo angalau nikapata chochote
  14. baraka mtupi

    Aptitude Test

    Samahani naomba niulize kwa wakuu, hayo maswali ya IQ yatakuwa ni yatumia lugha gani? swahili/english
Back
Top Bottom