Tbag walipokuwa ktk gari alipohici ameshtukiwa akaona isiwe tabu akajifunga pingu mkono wake na Michael 7bu aliona ndo kila kitu, hvyo John akaona isiwe taabu akamata shoka na kuutenganisha mkono wa Tbag na pingu
Inaonekana Africa tunafanana nilikutana na taarifa ya kwamba JINA na PICHA ya Mohamed Salaa vimetokea ktk karatax ya kupgia kura ya uraix Cameroun na akapata kura 218
[
Unauliza ujinga tu kujaza server,
Mwaka 2022-2025 hujui km kuna watoto wamekua wakubwa kupiga Natumain hujamwelewa mtoa mada na xwali amelijibu mwanzon mwa uzi tu yaaaaan kachukua xenxa ya 2022 wale ambao ilipofika 2025 watakuwa tyr...
[QUOTE="Mjusi Sharobal
Hahahahah kwa maana ya kwamba wa mbele anapayuka hadi nyuma na wa nyuma amjibu! Ndio ilikuwa hvyo brother wanabonga kimasai mwanzo mwixho aiixeee
Inakuumaje umeshawahi kupanda gari limejaa wamasai wananuka shombo shombo fulani hivi hata ukifungua vioo haisaidii kitu na safari Ndugu kuna hyo nilikutana nayo natokea Moro naenda Dom ndan wamepanda wamaxai kadhaa gari zima inanuka ng'ombe ng'ombe tu af wamaxai waliokaa...
[QUOTE="Bujibuji Simba Nyamaume,
Namtafuta aliyenidanganya kuwa Tanzania ni ya Tatu kwa ubora kwenye ulimwengu wa ushushu.
Vichaa Tanzania ni mashushushu
wapiga hii hata mm nilixikia TZ ni ya tatu kwa uxhuxhu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.