Recent content by Baraka Alphayo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kama sio Lowassa, Magufuli asingetumia kauli ya "Mabadiliko ya kweli"

    pohama ,sasa kwa ufahamu wako ni mtu gan atakayeiweza nchi hii??
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Waziri mkuu serikalini lini itaacha kununua mashangingi?

    turudi kwenye landcruiser hardbody ili kudhihurisha kauli mbiu ya hapa kazi tu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Waziri mkuu serikalini lini itaacha kununua mashangingi?

    kwa mzalendo unaueipenda Tanzania yetu ni lazima uumie sana una poona v8 ipo kwa ajili ya matumizi ya mtu mmoja huwezi amini mbali na service hiyo gari inatumi lita 3-4 kwa km 1,sasa bado service zake ambapo kwa mwaka na kwa idad ya hizo gari zilizopo ni hela nyingi sana,binafsi naumia sana kila...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    ww achana kabisa na ITV ni media gani imeweza kutufikishia habari za uchaguzi kama si Superbrand???(ipp juu!!!!)
  5. B

    JamiiForums Tanzania Smart watch bei poa, Mpyaa (Full boxed)

    bei gani??
  6. B

    JamiiForums Tanzania HUZUNI KUU KYELA: Bye Bye Harrison Mwakyembe

    kajifunze kusoma na kuandika kwanza ndo uanze kupost huo uchafu wako,subiri sheria ya mitandao inaanza kesho
  7. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

    ndo mjue hii serikali ya ccm ina ulazima wa kutoka madarakani ,uwezo wa Lowasa ni mdogo sana kumbe hata ktk uwaziri mkuu wake alikuwa kabebwa hawana uwezo binafsi wa kujenga hoja akiwa pamoja na Sumaye,ndo ujue hii nchi imekuwa ya kubebana kijinga kijinga
  8. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    huyo kampeni meneja katumwa na ccm kusema hayo,hana jipya
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe kufikishwa mahamakani kwa Utapeli

    acha sheria ya mitandao ianze make nyie ndo tunawatafuta kwa habr za kuzusha,na msipoacha upumbavu huo mtajuta,hii mitandao si kusudi lake hilo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    kwann mabomu??mbona sielewe au hao waandamanaji wamefanya vurugu??
  11. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Pamoja na uliyoyasema kwa waandishi wa habari ikiwa ni sababu ya kujiuzuru,mm naona pia ni wakati muafaka wa kuachia ngazi kwa wengine ,hatuoni kazi yako huku bara tangu chama kianze kina wabunge wangapi???,so go for good pro,chama kina watu wengi makini
  12. B

    JamiiForums Tanzania Maskini Samwel Sitta! Urais umekosa,na aibu umeikwaa!

    Hawa wazee wetu hawana hata aibu,wapo madarakani tangu 1975,kipindi hicho Sita akiwa waziri wa miundi mbinu,na mpaka leo bado yupo madarakani wakati huo anataka uraisi,hivi hii nchi wanadhani wapo wao tu???,hakuna wengine,inatosha wakacheze na wajukuu huko shamba,walisha tengeneza pesa sana
Back
Top Bottom