mhe zungu jana kaongea vzr sana wana jf kuhusu matatozo yaliyoletwa na mkurugenzi mpya aliyshindwa mwanza ambavyo anatka kuivurga tena dsm pmja na ttzo kubwa la machinga na jinsi serkali ambvyo hawalipi ufimbuzi mzuri ili waendelee na kazi zao
ktk wabunge ambao wnweza kuchangia mijadala vzr bac jmaa anaongoza tena na uthibitsho wa vtbu akchambua na kujenga hoja mbalimbali wkt wabungw wengi wamechangia mipasho na kuunga hoja bila ht kujadili matatizo ya msingin majimboni mwao nwananchi wanaona wawakilshi wao ndio watawahukumu
Ufinyu wa mawazo hv nguvu kazi hsa vjana kukaa tunajidili pumba hz badla ya ubunifu wa kufanikiwa ktk maisha duu kweli ss ni weusi wa ngozi mpka fikra nazo ni nyeusi
Ufinyu wa mawazo hv nguvu vjana kukaa tunajidili pumba hz badla ya ubunifu wa kufanikiwa ktk maisha duu kweli ss ni weusi wa ngozi mpka fikra nazo ni nyeusi
Unamrudia kwa kipi kipya mtu ambaye umempa mkono wa kwaheri bac huna msimamo na maamuzi yko na wajaabu mno utakuwa hujiamini na hii ni kujiendekeza hmna kpya ukiamua amua kweli sio unasema nyama umeacha kula hlfu mishikaki ikja mate ynatka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.