Hayo mambo ya kulipia kumuona daktari yafaa yafutwe kabisa katika hospitali zote, za umma na binafsi.. maana mgonjwa hulipia gharama za kutibiwa, vipimo, dawa n.k....daktari anapata mshahara alizike nao..
Huyo jamaa ni mbishi mno.. anakataa sanamu wakati hata maandishi ni sanamu za maneno.. labda kuanzia leo aache kuandika wala kusoma.. pia anasahau kuwa Mungu mwenyewe aliagiza kutengenezwe sanamu ya nyoka wa shaba jangwani na hiyo sanamu ya nyoka wa shaba inafananishwa na Yesu msalabani katika...
Hii st. Peter square ina ukubwa gani? Maana mamia ya watu humiminika mno hapo..na usalama unakuwaje, Unasimamiwa na serikali ya Italia ama vatican yenyewe?
Labda uende pia ukatafakari. Je unapoambiwa mtu fulani alibadili imani ama kufuata maagizo fulani ya Mungu, ,! Yeye na nyumba yake yote,! Unaelewaje hapo? Je unadhani Baba ama kiongozi wa Familia anaweza kubadilika yeye peke yake na kuacha wengine wa nyumbani mwake nyuma? Au unadhani Baba...
Mi nilidhani unahitaji kuelewa kumbe lengo lako ni kubishana ili ushinde haya nenda kasome kitabu cha matendo 16... 13-15 na matendo 16 mstari wa 33.. walau unaweza kupata maana.. ila la muhimu ni kumuacha mleta mada aendelee kutujuza yanayoihusu vatican.. asante..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.