Recent content by Baracah2001

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Uongozi si zawadi wala kipaji

    Mkuu hukamuelewa mtoa mada. Kuna nanafasi zinaitaji fresh from school na kuna nafasi zinazoitaji experienced one aswa nafasi za management kama DED kwenye halmashauri ndo mtendaji mkuu. Hii nafasi inafaa apewe mtu ambaye amewai atleast kua mkuu wa idara na sio nafasi za ki kada.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa biashara

    Tangazo linasema mshaara negotiable but competitive packages
  3. B

    JamiiForums Tanzania Heka 600 zinauzwa Makambako Iringa

    Sh ngapi zinauzwa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa biashara

    Tabora mjimi.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa biashara

    Biashara zipo kwenye attachment ila in summary ni Bakery,Bucher na Kiwanda cha unga (milling)
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa biashara

    Kwenye attachment kuna profile ya kampuni.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Sukari haitakuwa tatizo Ramadhani

    Yaani uku kwetu sukari 3600 sasa hao wakuu wa mikoa walio agizwa wanaidhibiti vipi...? Mi naona ifike mahali siasa itenganishwe na professional issues maana hili ni swala raisi tu tulisoma darasani demand vs supply Wachumi wangeishauei serekali wanasiasa wakae kimya tu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa biashara

    Natafuta mtu mwenye uzoefu na weledi wa kutosha kusimamia biashara zangu tofauti kwa mafanikio ambayo nayaitaji. Kampuni ipo tabora mjini hivyo aweze kukaa tabora Tangazo kama linavyoonekana kenye attachment
Back
Top Bottom