Recent content by Baq

  1. B

    JamiiForums Tanzania Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    yaah malengo ndio jambo la msingi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    yap mitatu ni kwa ajili ya wenye dip tayar but f6 huchukua minne
  3. B

    JamiiForums Tanzania Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    DIT kama hauna dip unapiga miaka minne mzaz acha ushabik
  4. B

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wanawaibia Watanzania kwa kutumia Ujumbe mfupi wa simu

    Hata ukiomba kutolewa huduma kwa wateja hautolew na daily unakatwa zaid ya 450 wanakutumia sms 3 kila moja 150 kutoka mpaka labda utumie lugha kali kwenye mtandao unao tumia
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Open mind
  6. B

    JamiiForums Tanzania naomba msaada wenu,ni program gani itanifaa kwa degree?

    Kasome Telecommunication mzaz pale DIT
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wale wa DIT tarehe ya kuripoti ni lini

    shukrani sana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wale wa DIT tarehe ya kuripoti ni lini

    sasa wewe haikuhusu una acha tutakuban kuwa mkubwa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wale wa DIT tarehe ya kuripoti ni lini

    Hawaja weka info zozote
  10. B

    JamiiForums Tanzania VIJANA TAIFA la LEO

    ume elewa nilicho andika ama? Usikurupuke kama haikuhusu plz usicoment
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wale wa DIT tarehe ya kuripoti ni lini

    Naomba msaada wenu tarehe ya kuripoti DIT first year ni lin
  12. B

    JamiiForums Tanzania VIJANA TAIFA la LEO

    Na maanisha kwamba huu ni wakati ambao vijana tunapaswa kujitambua kwa kuchukua nafasi mbalimbali za uongozi pia tusisubiri ajira tujiajir kupitia ujasiliamali na ujuz tuliopata toka chuoni tusitumiwe na wanasiasa tuangalie kiongoz bora na tusiangalie chama
Back
Top Bottom