Recent content by Bao3

  1. B

    Mdada wa kitanzania, Glory Seruhere- Kichwa cha Makerere University 2009

    Mwebale Nyoo nyabo. Nimepita hapo, I know what it takes to get that class my dear lady. Big up!
  2. B

    Online Education Tanzania au Vyuo vya nje

    Kuhusu KIU mkuu wawezasoma thread hii humuhumu https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/55727-varsity-girl-stabs-lover-to-death.html
  3. B

    Study in Ukraine Universities with ease

    Mkuu ktk hizo point nimekukubali aisee. You have said it all!
  4. B

    Varsity girl stabs lover to death

    Huyu Mwandishi amekua too sensational and biased kwa wakenya. Inamaana ni ukenya wake huyo dada uliomfanya amuue jamaa au ni tabia au hasira zake? Marehem alilewa sababu ya ukenya wake au ni tabia yake kama individual person? Katia chumvi mno kuongelea suala la utaifa ktk hii habari. Ni habari...
  5. B

    Mdada na chabo !

    Kumbe na wewe una mbwembwe!!
  6. B

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    hm!!! mmeshaanza,anyway ukweli tutaujua tu muda unavyozidi kusonga.
  7. B

    Online Education Tanzania au Vyuo vya nje

    Kwani mkuu wewe unaishi wapi? Maana umepewa option ya UDSM hapo umeendelea kuomba vyuo,sasa unaongelea mambo ya KIU na huna uhakika nacho. Kwanini usiwasiliane na udsm hapo kabla hujaingia kwenye vyuo vinavyoibuka kama uyoga? To my knowledge, value ya MBA inategemea pia na wapi umeisoma,sio kuwa...
  8. B

    Uvaaji mwingine mmh !!

    Loh, niliingia kwa shauku kwenye hii sred sasa inakuaje hapo ?
  9. B

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Kwenye bold hapo. Injinia umenikumbusha mbali sana. Kuna geti dogo lingine lilikua unaibukia wandegeya. Tulikua tunakatiza sana hapo kwenda kuwaona vijana Akamwesi au tukiwa tunaenda mulago. Deo kumbe ndio yule aliekua anareport toka Kampala(radio One) kipindi fulani?
  10. B

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Mara polisi mara Ikulu. Inaonekana jamaa umesoma nae ila hujanyoosha hapo mkuu,labda umepitiwa kidogo. Inasemekana alikua polisi wewe unasema alikua Ikulu baada ya kuacha world vision.
  11. B

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Injinia, Mimi nilikua Dag. Jamaa niliwahi kumsikia kabla sijaenda hapo MUK.
  12. B

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Unajua nilikua nikiangalia hilo jengo lilikua linanikumbusha jengo fulani(administration),mbele kuna njia fulani niliokua nikipita wakati naenda East African school of Libriarianship. Kwahiyo ulikua unaishi wapi aisee? Club five ulikua unaenda? hivi mhandisi, kule kitivo cha technology ukipita...
  13. B

    Umesoma chuo kikuu gani? Kama hakipo hapa umeliwa!

    Maumivu ya tumbo huanza taratibu! Kama una shaka na uliposoma beba vyeti nenda tcu wakahakiki mkuu. Pia wao ndio wanaopaswa kukwambia kama chuo chako kinatambulika au la,at least kwa hapa home.
  14. B

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Apart from that nasikia baada ya kuhitimu darasa la saba jamaa akapitia pre form one. Tutaona vijana wa kichina mwaka huu! hahahah
  15. B

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Injinia ulisoma MUK?
Back
Top Bottom