In case you're interested in STB self payment.
Automated payment with Most Mobile network providers in Africa supported.
Instant STB Renewal service, Secure payments also including Credit Cards with Stripe
You can watch Youtube links on the "How To"
GoosatPay - Digital STB payment Platform
Hamna router portable(Pocket MiFi) ya Unlimited kwa mtandao wa Airtel.
Hizo pocket MiFi za Airtel vifurushi vyake ni vile vya 10k, 20k, 30k
Na kuna zile WiFi router kubwa zenye power bank ndo unlimited zake zinaanzia 70k, kwa mtazamo wangu sio Portable kwa maana lazima uzibebe kwenye Bag au...
Router kubwa pia zinapatikana
Zenye kutumia betri au direct kwenye umeme.
Bei kuanzia 130,000/=
Duka letu lipo Kariakoo karibu na Kanisa la KKKT.
Unlimited Internet Mtandao wa Vodacom inaanzia 70,000/= kwenda juu.
Call/whatsapp: +255 766 942 255
Heshima yenu wana Jamvi.
Ninauza Universal 4G LTE MiFi router(router ya 4G inayoingiza line mtandao wowote.
Router hii ina sifa zifuatazo
Inaingiza line zote
Inaruhusu 3G au 4G kulingana na eneo ulipo
Speed mpaka 150Mbps
Betri yenye uwezo 30000mAh, betri masaa mpaka 10
Inaweza kuunganisha...
Daah nimeweza gundua tatizo ni kwamba hizi TV za kichina zina create file jingine ndani ya Flash!
mfano ukiweka wimbo katika Flash Akon- Don't Matter TV nayo ina create file jingine liniatwa ._Akon-Dont Matter
Sasa kama flash ina MP4 lets say 200 basi ujue top on the list zitakuepo hizo Junk...
Salaam!
Naomba kujua video format ambazo ziko supported na Tv za Star X ambazo sio smart tv maana nimejaribu ku Play MP4 zimegoma!
Naambiwa kwa kiingereza cha ki china Video Not Support
Mara nyingi gari nalitumia kwenda kazini speed nayotumia average 35km/h
BaraBara haina foleni kabisa about 1Km ndo kuna barabara ya vumbi na vibonde vya hapa na pale!
Bado naamini hii consumption sio ya kawaida kwa gari la 1300cc!
Salaam!
Nina gari aina ya Toyota Vitz 2NZ-FE(1.3L) 4WD ya mwaka 2000 ambayo nilinunua Show Room hivo sikujua kabisa kama ni 4WD mpaka nilipo google chasis number nkaona hilo gari huko beforward na kuona pia lina support 4WD.
Issue kubwa na hili gari ni ulaji wa mafuta ambao sikuwa nimeutegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.