Vitz 4WD na ulaji wa mafuta

pole saana kaka, Gari yako hio itakua full time 4wheel drive sidhani kama ina button ya diff lock ndo maana inakula saana wese, iingekua na button unaondoa nakutumia kawaida baadae unapoitaji unaweka hio ina saidia kwenye issue kama yako,mimi na mazda tribute ni 4wd aka AWD ina diff lock button na inakula kwa 9.kitu /litre hadi nane km sometimes. hapo nakushauri huitoe hio system ya 4WD,4WD inaongeza load kwenye engine maana gari yako ni front wheel drive ambayo diff ya nyuma inatumika kama 4wd ku push yani rear lockers so hapo ni kutoa diff ya nyuma ila kibongo bongo naona uta haribu gari tuh.hio uza tafuta nyingine.

diff lock ni kwa ajili ya ku lock all tires kuzunguka kwa pamoja sio kufanya 4wd iwe on au off !!
 
diff lock ni kwa ajili ya ku lock all tires kuzunguka kwa pamoja sio kufanya 4wd iwe on au off !!
ni sawa huko sawa, asa ukiweka hio button na ma tairi yote manne ya kizunguruka maana yake nini?(ni 4WD ya aina yake kwa maana AWD), hizi gari ndogo sio true 4WD ila kitendo cha kulock diff na ma tairi yote kuzuguruka tayari ni 4wd hio.
 
unajua gari chache sana zna diff lock huwez niambia vitz au cami iekwe alafu kuna cruiser hazina diff lock ?? tofautisha tairi zote nne kusukuma gari ambapo hapo kuna tairi zngne zina slide yan kuna saa umekwama tairi zngne zinazunguka tu labda za kushoto ya mbele na nyuma afu nyingne zimetulia sasa diff lock ni kufanya ile nguvu ile transimited equaly yan hutaona tairi zina slide hapo ni kufanya zote zizunguke kwa pamoja
 
sawa kabisa, ndo maana mwanzo nikamuambia inawezekana gari yake ni full time 4wd hizi mbona hata starlet zinazo hata rav4 hizi za kizamani zinazo una haja ya kuweka kitu wala ku bonyeza button,ndo nika sema hitakua haina button ya diff lock kama ingekuwepo ange kua anatoa yani ON/OFF hatapoitaji na ina save mileage kama nilivyo itolea mazda ila kwa maaelezo yake itakua full time 4wd ingawa gari ndogo za hivyo hazina 4wd halisi na wala sio 4wd ya ukweli.zinaitwa AWD all wheel drive yani tofauti ya AWD na 4WD ni kwamba AWD hazina low gear range kama low,high tuna vyona kwenye ma cruiser etc, ila 4WD zina low, na high mfano kile kigongo gear kidogo kina HL,L etc. hapo chakufanya hauze gari modification kibongo bongo wata muharibia gari.
 
Mkuu nakushauri iuze kwa mtu ambaye ni mpenzi wa 4WD,kuna wengine hawaangalii ulaji wa wese wao wanachoangalia iwe na 4WD,ukishauza nunua vitz isiyo na 4WD,kwangu nikija kupata fedha 4WD ni kigezo moja ya gari nitayotaka,siku za mvua na barabara zenye mchanga mwingi unapeta tu.
 
Sasa si uinunue wewe kwa kuwa unapenda 4WD
 
Kwani hiyo gari hapo ndani haina mguu wa kubadilishia difu kutoka mbili(4W drive) kuja moja(2W drive)?!

Kama ipo basi hebu jaribu kuihamisha uiweke katika 2WD ili uone hapo itakuwaje
 
Mara nyingi gari nalitumia kwenda kazini speed nayotumia average 35km/h
BaraBara haina foleni kabisa about 1Km ndo kuna barabara ya vumbi na vibonde vya hapa na pale!
Bado naamini hii consumption sio ya kawaida kwa gari la 1300cc!
Me natumia gari ya cc 1879 na bado huwa nakwenda 1litre kwa km 16
 
Au fanya hivi, shusha engine....weka engine nyingine utamaliza kabisa mzizi wa fitina
 
Kwani hiyo gari hapo ndani haina mguu wa kubadilishia difu kutoka mbili(4W drive) kuja moja(2W drive)?!

Kama ipo basi hebu jaribu kuihamisha uiweke katika 2WD ili uone hapo itakuwaje

hiyo option hakuna!
ndo maana nauliza kama nkienda ku disable fulltime 4WD itasaidia!
 
Me natumia gari ya cc 1879 na bado huwa nakwenda 1litre kwa km 16
Nahisi siyo kweli. Yawezekana hujapima vizuri. Ukitaka kupima vizuri tembea na kidumu cha mafuta cha Lita 5 kama mafuta yaliyo standby kwenye Gari halafu endesha mpaka mafuta yakate kabisa, halafu uweke hizo Lita tano, halafu andika milage. Kisha litumie GARI huku ukiwa na mafuta ya akiba kwenye kidumu mpaka mafuta yakate
kabisa. Kisha soma tena milage.
Kilomita zilizotumika gawa kwa 5 kisha ulete mrejesho hapa.
Kwa ukubwa wa GARI lako lazima Lita 1 isiende zaidi ya km 12 .
 
Sorry kama nitakua nimechelewa kureply ila Kwa speed uliyosema unatembelea huo ulaji ni kawaida maana ukisoma vizuri user manual za magari kuna baadhi wanaonyesha kabisa consumption ya mafuta kutokana na gears utakazokua unatembelea mfano mm nina gari engine ni 1nzfe according to manual ukitembelea gear namba 1-2 consumption ni approx 8km/l ila 3-4 ni 15.6 km/l so kunauwezekano hio ikawa ndo tatizo..
 
Back
Top Bottom