Hii idara iangaliwe vizuri kuna urasimu mkubwa sana wa upatikanaji wa nyaraka za serikali hasa kwa tuliopo mikoani. Mbaya zaidi inapelekea baadhi ya taasisi kwenda steshnari binafsi kuprint na ku-bind nyaraka muhimu za serikali na nyingine sensitive
Inaendeshwa kizee na kizamani sana. Inahitaji...
Asitekwe Lissu, Mbowe,Mwambukusi au Mdude Nyagali atekwe mtu ambaye hata nyumbani kwake hana ushawishi? kuweni seriuous eti kwa sababu ameandikwa mwanaharakati basi mnaona serikali imemteka!
Wafanyabiashara wa magari wengine baadhi yao ni matapeli,wanajihusisha na wizi wa magari na dhuruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.