Recent content by bange frank

  1. bange frank

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Kuna pombe inaitwa lugumi ukinywa hiyo ni balaaa pole yake sasa kashafanyiwa upasuaji huyu hajatumbuliwa saiz anauguza kidonda!Wapi JPM
  2. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Iko poa mi imekubali vizur tu
  3. bange frank

    Nifanyeje ili Samsung clone isifungiwe?

    Hebu nipe na mm maujanja
  4. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Naweza kuirudisha mkuu hebu naomba msaada wako nawezaje
  5. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Hiyo ni special for samsung only.kwa hiyo yako tafuta document za hiyo cm utakuta sim code identification
  6. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Sina uhakika na hilo mkuu!
  7. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Lakin cha msingi mitambo si inasoma ubora wa simu na sio imei number coz company ni sawa samsung korea shida ni utofaut wa number tu kuna mtu aliniambia kuwa imei yoyote ikiwa na /01 mwishon hyo ni aunt virus so ni original
  8. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Nimbili tu ila ni tofauti na zanyuma
  9. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Nashukukuru kwa taaluma hiyo mkuu
  10. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Mwishoni kunakua na /01 hizi ni za tcra mkuu
  11. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Cjajua pengine yawezekana kwa wazo lako kozi cm nimenunua mkononi ni mpya tu
  12. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Sensa iko vizuri iko vizuri na nikiweka mkono ileta rangi ya green na inavibrate sasa nadhan nimepata jibu sahii nashukuru kwa utaalam wako
  13. bange frank

    Msaada kwa mwenye uelewa na smartphone feki

    Nashukuru kwa majibu mkuu!
Back
Top Bottom