Recent content by banetg

  1. banetg

    Baa la Njaa: Bei za vyakula hazikamatiki, watu wanashindia maembe

    Hii itakuwa moja ya best bogus government kuwahi kutokea Tanzania!!! Watu wanakufa na njaa nyie mnarusha matangazo live ya mkuu wa mkoa anagawa pkpk!!! Watu wanakufa na njaa ww unashupalia Lema asitoke jela hii ni aibu kubwa kwa taifa!!! Hawa kujipanga kuongoza kabisa mtu anafanya u-comedy all...
  2. banetg

    Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Waangalie jinsi BBC inavyofanya kazi hakuna kuipendelea serikali wala chama tawala habari inakuwa balanced kweli!!! Haya mambo ya kuwa taasisi ya itikadi ndio inakuwa ya mwisho kwa kuangalia na jamii sasa hata watoto wadogo hawaitaki TBC!!!
  3. banetg

    Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

    Hili sio jeshi la polisi hiki ni kikundi cha wahuni ambao wanalinda watawala kufanya wanayoyataka dhidi ya raia!!!!
  4. banetg

    Yaliyojiri kutoka mahakamani kwenye kusikilizwa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema, akubaliwa ombi lake

    What I know ni kuwa kama sheria itafuatwa na mihimili ya kutoa haki bila ya kunajisiwa na Ikulu ya Magogoni kama inavyoondelea sasa Lema anastahili kuwa nje hakuna popote ambapo mtu amefungwa kwa kuota au ndoto ikampeleka mtu jela!!! Bia kama tutasoma vzr sheria zetu hakuna hakimu anaeweza...
  5. banetg

    Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

    Nimeikubali aiseee!!!! Niliisoma sana ile ya kuuawa kwa Guevara Bolivia na hata Rodriguz ninazo picha zake ndie aliongoza wale Red Barret ambao ndio walimkata Guevara msituni na ndie mtu wa mwisho kuongea na Guevara kumwambia kuwa imeamuliwa uuawe na kumwambia ampe ukumbe wwte wa kumpelekea...
  6. banetg

    Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    Siku za udhalimu zinahesabika!!! Hakuna udhalimu unaodumu!!! Najua hata wanaoshikriki ss pia wameanza kuona hatari ya udhalimu huu!!! Tutegemee lolote wakati wowote!!!!
  7. banetg

    Arusha: Mbunge Lema anyimwa dhamana, arudishwa Magereza na kesi kusikilizwa tena 16 Dec

    Usitegemee haki tena katika mihimili ambayo tayari imesha najisiwa kiasi hiki!!! Now inayotolewa sio haki ni aibu tu ya watawala wakiona haya ndio wanakubali watuhumiwa waachiwe huru!!!
  8. banetg

    Mhitimu wa degree ya sheria auza mihogo baada ya kukosa ajira

    Mh!!! Isije ikawa story za walioshindwa kuwatengenezea vijana ajira wanajaribu ku-compromise???
  9. banetg

    Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Utatupata wengi mzee!!!!!
  10. banetg

    Mnaomuunga mkono Zitto naomba jibu la swali langu!

    Katika siasa hakuba adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu! Zitto ametekeleza anachoona yy ndicho hakuna sababu ya kumuhukumu kwa hili!!! Kiukweli hakuwa anatakiwa tena ndani ya chadema ndio maana Lissu alianza kumnanga kuwa tyr si mwanachama!!! Sioni anguko la chadema ila naoba angukola upinzani...
  11. banetg

    DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

    Issue ni mfumo wetu hasa katiba inampa mamlaka kubwa rais kiasi kwamba anaweza akafanya llte na hakuna mtu wa kumuhoji au kumzuia!Hapa hao wote ambao wana mamlaka ya kuchunguza na kupeleka suala mahakamani ni wateule wake hivyo hawawezi kwenda kinyume na yeye!Wasiwasi wangu sidhani kama serikali...
  12. banetg

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Hizi siasa zinapoteza muda tu wa watanzania!!!!!!
  13. banetg

    Nissan march for sale 3.5

    Sio jini lkn la kwenda kunyonya watu damu????
Back
Top Bottom