Recent content by Bandumbwi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi UVCCM miezi 3 hakuna mishahara

    Mbona unahasira namna hiyo nn shida unapenda sana wenzio wanapoteseka
  2. B

    JamiiForums Tanzania Katika hili la KKKT, CCM ina la kujifunza

    Lkn tambua harakati nyingi za kupata uhuru wanchi zilianzia kwenye dini wakina nyerere walikuwa wanatumia jukwaa hili kulibeza kanisa ni ukichaa kumbuka kadinali pengo alivyokuwa anavutana na utawala wa awamu ya nn je uliona jinsi kikwete alivyokuwa anamalizana naye
  3. B

    JamiiForums Tanzania Katika hili la KKKT, CCM ina la kujifunza

    Ww ni kati ya wanaccm wenye maono ya mbali sana tena unaye lijali taifa lako kwani machafuko yaki tokea dola haina nguvu ya kuyamaliza
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli huenda anarudia makosa ya Kikwete!

    Kumbe kwa ss tulio kkkt na tuko ccm tuhamie cdm poa hamna shida mmeanza kutubaguwa hamnashida ccm mungu anawaona
  5. B

    JamiiForums Tanzania In CCM there are some great leaders, but (....)

    Jibu hoja umewahikupokea tushwa
  6. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Buyungu(CHADEMA), Kasuku Samson Bilago afariki dunia

    Endelea kupandikiza ukabila siku moja utajuta ww pamoja na mwenyekiti wako sizonje kuwa mlikuwa mnafikiria matumbo yenu bila kulijali taifa kwani mchaga sio mtz
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Upinzani unapenda kufikiria vitu Negative?

    Mbona polepole kafurahia kuwa eti jimbo liko wazi hata marehemu hajazikwa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, kufanyiwa upasuaji wa mwisho tarehe 4/6/18, awapa salamu Watanzania

    Wenye vyuma kwenyo moyo wanatesa siku vikiacha kufanya kazi shida ndege hata vikibana mtu anazimia
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Ikulu ya Tanzania anaijua mipaka yake ya kazi?

    Ww umechanganyikiwa hapo juu umesema nn sema tu nchi yetu haijawawekea utaratibu mzuri wa kikazi kati ya msemaji wa rais na wachama
  10. B

    JamiiForums Tanzania BoT: Taarifa za deni la taifa kuongezeka kwa Trilioni 12 sio sahihi

    Kwahiyo deni la sh tirion tatu kwa miezi mitatu ww unaona sawa tu kweli watz hatuna akili
  11. B

    JamiiForums Tanzania Value for Money: Je, upinzani una thamani ya jasho la Watanzania?

    Kama kweli ww ungekuwa mchambuzi mzuri ungeandika matatizo ya vyama vyote vya siasa vinavyopokea rudhuku bila kubagua chama kwa mantiki hiyo basi unaoneka hajatoa hoja inayofaa kujibiwa kada wa ccm
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ally Kessy: Kugawana miradi kimjomba mjomba, kumetukosesha maji

    Kwahiyo awamu ya nne serikali ilikuwa ya cdm
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane: Mpaka sasa wakosoaji wa rais Magufuli jukwaani wamepwaya

    Maendeleo gani 1.5tirion hazijulikani ziliko
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ngurumo: Chacha Heche wale watu wasiojulikana wanakufwatilia kwa gari Number hii T494DDU Noah silver

    Ww endelea kutengeneza chuki ya ukabila utakuja kujuta wakati itakuwa muda imeisha
Back
Top Bottom