Tundu Lissu, kufanyiwa upasuaji wa mwisho tarehe 4/6/18, awapa salamu Watanzania

Wewe umekuwa mungu sio?? Kingunge na Kasuku Bilago, walimwombea mazuri Lisu, ila bado wametangulia wao. Acha
kumpangia Mwenyezi Mungu.
Wenye vyuma kwenyo moyo wanatesa siku vikiacha kufanya kazi shida ndege hata vikibana mtu anazimia
 
Huwezi kuamini mwanadamu mwenzako anaweza kuwa na ROHO mbaya kiasi cha kumtesa mwanadamu mwenzake namna hii kisa tu hataki eti kusikia akiambiwa ukweli.
 
Unaweza kumfanyia ubaya mtu ambaye ni adui yako au unahisi ni adui yako, lakini baadae unaweza juta sana ukiona anavyoteseka kwa ajili ya maamuzi yako.......
 
Kweli Mungu ni Mkuu sana kwa haya aliyoyatenda kwa Lisu, na aendelee kumtibu arudi kututumikia
 
Uangalifu unatakiwa kuongezwa , kuna watu wanatoka Tanzania wanapitia Kigali kuelekea Ubelgiji , SIWAAMINI , lengo la safari yao haifahamiki , bado naendelea kuwafuatilia .
 
Habari mbaya kwa mbowe na nafasi yake!
Hivi wewe jamaa kweli ulihudhuria hata shule kidogo, samahani, nimetumia neno "Hudhuria" kwa maana kuwa huonyeshi katu "Traces" za walau kuelimika, hata kidogo tu.

Michango yako humu waga ina "Elements" za umbeya umbeya hivi na tofauti na Avatar yako inavyoonyesha, sidhani kama wewe una jinsia ya "ME".

Comments zako waga zimejaa "Aberrations na Innuendos" tupu kiasi cha mtu kujiuliza, hivi kweli wewe hizi maelfu ya comments zinazotolewa humu kila uchao wewe waga hauna anything of substance or value to add into.....!!!! Owing to this, you made us to believe that your parents really laboured for nothing.
 
..bahati yake alikimbizwa nje ya nchi kwa matibabu.

..angepelekwa Muhimbili asinge-survive mpaka leo.

..Muhimbili walishindwa kumtibu Mzee Kingunge infection iliyotokea ktk majeraha yake.
 
Hii nchi kwa vituko haitakaa iishiwe.Imagine kichwa kama hiki kinamiminiwa risasi kife halafu kiumbe kama Bashite ndiyo anabaki ili tu asumbue watu.
 
Back
Top Bottom