Recent content by bandomi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa kitanzania hatuna mtindo wa kufikiria innovations za kisasa

    Vijana wengi wamejikita katika kumaliza elimu na kuanza maisha apate mshahara anunue au apange chumba na kununua gari na ndio basi ameishia hapo. Sio kwamba tuwe na mwenendo wa kuhamasika kuunda mambo mapya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa kitanzania hatuna mtindo wa kufikiria innovations za kisasa

    Ni kwamba mimi ni Mjenzi wa Ndege nina shahada katika Ujenzi aa Ndege na vifaa vinavyoruka hewani, nina Diploma of Success katika Maswala ya Viwanda na Uundaji wa kitu cha aina chochote kile. Sasa mpaka sasa nimeshainda ndege ya kivita, ambayo ni Conceptual. Na kuna mengi zaidi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa kitanzania hatuna mtindo wa kufikiria innovations za kisasa

    Wajumbe hebu tuelezane mapungufu ya vijana wetu Ni kwamba mimi ni Mjenzi wa Ndege nina shahada katika Ujenzi aa Ndege na vifaa vinavyoruka hewani, nina Diploma of Success katika Maswala ya Viwanda na Uundaji wa kitu cha aina chochote kile. Naomba itambulike kuwa mpaka sasa nimeshaiandaa ndege...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Simpendi nataka kuachana naye ila sijui namwachaje?

    Na akamzungusha kwa muda usiozidi miaka sita, ilihali mapenzi hayakua ya dhati. Basi na wazazi wakamkubali na hatua zikachukuliwa. Naye binti yule akaanza kutafuta njia, Loh! Aibu itajisambaza na kumpa maumivu. Mapenzi, 5:78.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [really]
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya mikorosho na bei zake

    Habari za muda huu Wajumbe, natumai ni wazima nyote. Naomba kuulizia bei za mashamba ya mikorosho na jinsi ya kuipata kwa manunuzi...
Back
Top Bottom