Wazazi wetu wa kiafrika wanashida Sana hasa kina mama,mchezaji mpira wa Togo Emanuel Adebayo alimfanyia vitu vyingi mama yake lakini bado hakuridhika akawa anaungana na wadogo zake Adebayo kumpiga hela tu mpaka jamaa akataka kujiua kwa msongo wa mawazo
Mfumo wa elimu yetu unatufanya tushindwe kujitegemea hata baada ya kufanya kazi kwa miaka yetu 60, unakuta mtu ana master pamoja na CPA na uzoefu wa kazi miaka 40 lakini muambie afungue kampuni yake hawezi ,anategemea kuteuliwa kwenye kamati na vyeo vingine vya kisiasa.
Mussa Assad kuendelea kuhojiwa kila mara hakutasimama,na hii ni kwa sababu kunakuwa na media mpya mfano ni hiyo crown FM ,ndio maana unaona ikikaribia Nyerere day vyombo vingi vya habari vinaenda kufanya mahojiano na walewale waliowafanyia mwaka jana hii yote ni Katika kuweka kumbukumbu sawa .
Hapo mchawi ni cheti angalau cha level ya astashahada ,makampuni mengi yanahitaji watu kama wewe ila sasa mfumo wa ajira Tanzania unaamini sana katika cheti kuliko utendaji wa mtu ungapambana usome certificate ya store ingekusaidia zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.