Hamna kinachoshindikana chini ya jua, tena kwa hili ni swala dogo tu linalohitaji muda ipo siku hao wanaopokea hizo amri haramu watakuja ku realise wanakoelekea siko hapo ndipo tutaimba wimbo mmoja
Ni kweli vita haina macho na wala hatuipendi na ndio maana tunahitaji kuwaondoa na kuwaajibisha wale wanaoenda kuisababisha kwa kuiminya haki ila wameweka pamba masikioni
Kuna watu wengi wanaona sifa kubeza na kutoa dhihaka kwa kuwa kilichotakiwa kutokea 9 Dec haikuwa kama ilivyotarajiwa lakini hawajui kuwa wanachofanya ni kurusha cheche kwenye ghala la petroli na ikitokea imewaka this time itakuwa mbaya zaidi maana watu wametulia lakini eleweni bado wana hasira...
Mbona maandamano yashafanikiwa ni sisi kuamua kesho tuhitimishe au tuwaache wale sungusungu waendelee kujianika juani then tuwa pige na butwaa next time
Nimezicheki zote mkuu, tena wiki iliyopita tu hapo nimetoka kuangalia terminator ya 2015, skynet kule ndio imetumika kuwakilisha kama hii AI ya sasa. Kinacho nistaajabisha kingine kwenye hii tech ya sasa ni virtual reality tech sahivi watu wanauwezo wa kununu virtual assets kwenye virtual...
Vipi kuhusu hizo robots zinazopewa akili ya utambuzi na ku interact na binadamu ikitokea zikaenda kinyume na matakwa na binadamu ikiwa tayari zimepewa uwezo mkubwa wa kujifunza na kutenda mambo physically itashindwa kujidevelop yenyewe ktk upande wa hardware maana mpk sahivi AI yenyewe...
Bado Kuna zile brain chip ambazo zinakuwa planted kwenye ubongo wa binadamu kuupa uwezo kama wa computer kuwasilana direct with other external devices, hapa tunajiuliza kuhusu AI iliyopo kwenye simu na computer wakati wenzetu washafikia hatua ya kuzipandikiza kabisa kwenye ubongo wa mwanadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.