Mwaka huu, majungu na fitina havina nafasi kwenye uchaguzi wa BAVICHA.Bila kutoa uthibitisho wa tuhuma zako tutakuona MPUUZI, na tutazipuuza propaganda zako
Kwa taarifa yako, Zanzibar ndo inahitaji zaidi Tanganyika. Mi mwenyewe niko huku Zanzibar, hakuna production kabisa.Watu wazima wanashinda vijiweni huku mnaita "maskani" asubuhi hadi jioni.Mishahara yetu kwenye taasis za Muungano na wale wazanzibar waloajiliwa na TANGANYIKA ndo inasaidia...
Uchaguzi huu wa BAVICHA tunatazama zaidi hoja na uwezo wa mgombea.Wale wataalamu wa kuibua kashfa bila ushahidi huku CDM si kwao, tabia hizo wazipeleke kwao Lumumba. Ukimuibulia mgombea tuhuma, tutakuona KILAZA na MAMLUKI kama hutaleta ushahidi wa tuhuma zako.
Zikiwa zimebaki takribani siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu BAVICHA, joto la uchaguzi limewapanda wengi wa wagombea na wapambe wao. Katika viunga vya mtaa wa Ufipa na maeneo mengi nchini, mjadala ni juu ya mgombea tishio katika nafasi ya Mwenyekiti ambaye ni ndugu Daniel Naftali, wengine wamefikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.