Hiyo video ni ya kuchongwa, kwani hata anachoelekeza lwakatare hakisikiki, huo ni uongo wa hali ya juu kabisa, hizi njama nia za serikali ya ccm na si za chadema. pili kwa nini membe hajakamatwa naye aliapa kuwa ana maadui kumi na moja wakiwemo waandishi wa habari wawili? na alisema atawamaliza...