Recent content by Bamba92

  1. B

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawataka Zacharia Hans Pope na Frankline Lauwo Kujisalimisha

    Takukuru Bwana...kuna wabunge walileta ushahidi wa RUSHWA kwa kununuliwa kwa Madiwani tena kwa kebehi mtuhumiwa akajigamba adharani baada ya muda akapandishwa cheo wala hatukusikia mkitangaza Dau...acheni kutugombanisha Watanzania, tuacheni na dhiki zetu,tuacheni,msituchonganishe,maisha magumu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya aenguliwa Uenyekiti Bodi ya chuo cha Mwalimu Nyerere; nafasi yake apewa Stephen Wasira

    "Mimi ni Kichaa na nimemchagua Kichaa mwenzangu"
  3. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya aenguliwa Uenyekiti Bodi ya chuo cha Mwalimu Nyerere; nafasi yake apewa Stephen Wasira

    Mr president pongez kwa kazi nzur unayoendelea kufanya, ila ifike wakat hawa wazee wapumzike sasa huyu wasira toka enzi za nyerere yupo asee!! Hizi nafasi zetu izi mzee wasira...! Mwambie JPM kuna wajukuu zangu nao wape nafas
  4. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Waombaji waliodahiliwa na Chuo zaidi ya kimoja

    Ingia kwa profile yako ya chuo ulichoomba mfano udsm,udom,saut ukiwa not selected wanakupa taarifa ukiwa selected pia unaona
  5. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Waombaji waliodahiliwa na Chuo zaidi ya kimoja

    Wakuu ivi kwa aliye chaguliwa chuo kimoja tu kuna haja ya Ku confirm?
  6. B

    JamiiForums Tanzania IGUNGA: Muuguzi amuunguza Mtoto sehemu za siri

    Sehemu za siri
Back
Top Bottom