Recent content by Baluchstan

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Vyuo vinavyoharibu Elimu ya Vyuo vikuu vya Tanzania

    Kwa mtazamo wangu waoua elimu ni NACTE coz wao ufaulu ili uende chuo ni pass 4 za O - level ili uingie NTA level 4 but ukiwa na A 3 unakua hujafaulu na hili limeathiri vyuo vingi vya kati kwasasa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Vyuo vinavyoharibu Elimu ya Vyuo vikuu vya Tanzania

    Nafikiri mtoa maada hakufanya utafiti wa kutosha,kuhusu research mzumbe ni lazima ungie kwenye panel kutetea andiko lako ukishindwa huwezi unahisabika umefeli so unarudia.Nakumbuka 2012 tulikua wanafunzi 400 wa masters pale dar na tulimaliza 200 plus hivi so sio kweli kwamba watu wanapita tuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, TANESCO Kigamboni kuna tatizo

    Hili la kigamboni ni jipu lililoiva coz hata wakazi wa kigamboni mchikichini ni hivo hivo,umeme unawaka dege umeruka mchikichini unawaka muembe mdogo ni maajabu na kama kawaida majibu ni hamko kwenye budget
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

    Alichofanya ni kutoa mfano tu jinsi gani zoezi la kuhakiki silaha lilivo muhimu ili kukabiliana na ujambazi,wanaomkosoa nazani hayajawahi kuwakuta,this is not a big brother society ni nchi inayofuata sheria sasa wewe kaa na silaha yako ya kimagumashi uone kitakacho kukuta kama ikiwa mkuu wa nchi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mwandishi, Salma Said wa DW Swahili akamatwa...

    Isije ikawa kajiteka?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Kailima mkurugenzi wa uchaguzi wa Tanzania anahusikaje Zanzibar?

    Fuatilia vitu kwa kina kabla kuandika
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi na wakuu wa Mashirika na idara hizi wangeachia ngazi tu mapema

    Rea,tcra,tlsb,road fund board unawaachaje hao
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

    Mimi nafikiri yuko sawa,as much ni mtumishi wa umma nijuavyo mimi ni kwamba kuna taratibu zake kwenye mambo haya na kwamba ccm sio wajinga hivo wapindishe taratibu ambazo wao wanazisimamia na kama tungemuona majukwaani nafikiri watu mgeandika sana humu.
Back
Top Bottom